Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tumewafunga Arsenal weekend, ni kitu kizuri. Lakini niwaambie, tumewafunga ni kwa sababu ya poor team management ya Unai Emery, poor team selection to be precise. Si kwamba tulikua bora sana.

Angetupangia kiungoni Xhaka, Lucas Torreira na Ceballos au Ozil, kule mbele Pepe, Lacazette na Auba tungeyumba sana. Beki zile zile. Tungehaha.

If u remember jamaa walitupelekesha at times. Unajiuliza, Lacazette angekuwepo left wing hali ingekuwaje? Jamaa ni fighter sana, last season aliwafungia bao la kusawazisha kwa immediate turn na kumpoteza AB1. Zile ni juhudi binafsi.

Willock na Guendouzi ni watoto sana kucheza na Gini. Wakamfanya Hendo ang'are apate bichwa aonekane bonge la kiungo. Haki nakwambia Arsenal ile ukimpa Wenger anacontend ubingwa. Unai mwoga sana.

Asante Unai Emery.
Hahahahahahahahah AIBU NIMEONA MIMI.
 
So, Nike deal ipo njiani.

But, rumours ni kuwa Klopp hai-support hii deal, because NIKE watakuwa na uwezo wa moja kwa moja katika ku-facilitate deals (Big signings), kwa players ambao wana mikataba/sponsored na NIKE.

So, here's the thing, Juzi zimetoka reports kuwa Klopp bado hajaamua kama atabaki baada ya mkataba wake kuisha au ata-sign extension. (praying he signs hiyo extension ambayo ipo mezani), hizi reports zimetoka siku kadhaa baada ya Klopp's interview kuhusu Coutinho, kwenye ile interview alisema kuwa "we got offered Coutinho back, and I THOUGHT IT WAS A GOOD IDEA", but as crazy as it seems we couldnt afford him/the deal". so ni kwamba Klopp wanted Coutinho back, but FSG couldnt afford ile LOAN deal, and Klopp was pissed, Coutinho kwenda Bayern. yes we can choose to be blind, but he was trying to tell us (fans) something, and alikuwa anajaribu kuwaonesha FSG kuwa he's not happy na jinsi walivyo-handle hii TW, and above all, alikuwa anajaribu kuweka wazi kuwa "HE WANTED COUTINHO BACK", y'all can hate Coutinho all you want, but fact inabaki pale pale kuwa Klopp rates him and he was READY to welcome him back, because ukiweka emotions pembeni utajua kuwa ni aina ya mchezaji tunayemuhitaji ili kukamilisha ile Set up pendwa ya Klopp (4231). and ni aina ya mchezaji anayetupa UHAKIKA wa EPL title kulingana na additions tulizofanya kwenye team, Klopp alitambua hilo na ndiyo maana he was open kumpokea Coutinho, but as always FSG wakaishia kumuangusha.

do i blame FSG for this, YES. and Klopp? YES pia. why Klopp?, i've said huko nyuma he likes kuonekana kama ni "Miracle worker", and FSG wamelitambua hilo, na ni faida kwao as Coach/Manager wa namna hii inakuwa vigumu sana ku-demand PESA kila TW kwaajili ya usajili, so ni LAZIMA, atakuwa aliwaambia anahitaji a number 10, and i'm sure Kia alivyopiga/gonga mlango at Melwood na kuwaambia kuwa Coutinho is available, aliwaomba FSG waangalie kama inawezekana Coutinho kurudi, na nina uhakika they lied to him kuhusu Barca's demands, because kipindi kile wakati habari za Cou kuja LFC zimezagaa, alihojiwa akasema kuwa deal ya Coutinho ina-involve a lot of money na sisi (LFC) hatukuwa na pesa kabisa, but few days baada ya Coutinho kwenda Bayern na loan fee kuwekwa hadharani, Klopp went out na kuonesha kutoridhishwa na ishu ya Coutinho, so why now? why aende public baada ya loan fee ya coutinho kuwekwa kwenye media? ni kwasababu anaona alidanganywa? so kama anaona alidanganywa, ni kwanini udanganywe? wewe ni MANAGER wa LFC, you should demand maelezo zaidi, you've just won CL kwanini ukubali tu kuambiwa hakuna hela ya signings? i hate to compare Pep and klopp, but its a MUST because ndiyo our main rival kwenye league now, Pep won the domestic treble lakini aka-demand for more players, dont tell me Ferna was getting old, He could've just say **** it and play Gundogan at DM (as he's good there) na kumpumzisha Ferna kwa baadhi ya games, but he went out and bought Rodri for £67m, and tell me y'all what was the reason ya kumnunua Joao Cancelo? he had two good RBs (Walker/Danilo), but kaona he needed more quality there, and he went and sign Cancelo who is as good as Trent going forward. but at LFC we'd kill to have Danilo as our back up to Trent, matter of fact we dont even have a relevant back up to Trent. why are we doing this? we already know kuwa FSG are tight owners, the reason hatujanunua mchezaji senior ni kwasababu hakuna Star player yeyote aliyetaka kuondoka this summer, na pia ku-fail kukusanya pesa kwa kina Wilson, (Sell to Buy policy). but Klopp was happy na haya yote because he wanted to prove to people kuwa he can pull another miracle, but he end up GOT PLAYED. FSG simply lied to him, i dont feel sorry for Klopp (YES), but those stupid owners are a disgrace, how can you lie kwa Manager ambaye ameiweka Club kwenye high Table? hizi deals za NIKE zingekuja bila kazi aliyofanya Klopp at LFC? we're the BEST TEAM in Europe right now (CL winners), and *slightly 2nd best team in the EPL (finished 2nd last season with 97 points), you think NIKE wangekuwa interested bila haya mafanikio?? but man, i dont feel sorry for Klopp, ameji-let mwenyewe down..

Now, lets back to NIKE, Klopp feels like hawa jamaa watakuwa ni main facilitator wa deals kubwa ambazo sometimes/i'd say most of the TIME huwa zinafanyika bila approval ya managers, kwaajili tu ya Marketing, mfano mzuri zaidi ni wa Utd na Adidas, or NIKE wanavyojaribu kutengeneza deal ya Neymar to Barca right now. Klopp ni mtu anayejulikana kutopenda zile BIG SIGNINGS zinazokuja na a lot of Marketing purposes, hence ha-feel good kuhusu hii deal, but atleast NIKE wont lie to him?

Kwenye hii deal ya NIKE, ninachoangalia mimi ni kama Klopp akiondoka, kama akiondoka na tukiwa bado tupo na NB, tutarudi tena kwenye banter era, (banter era ya ukweli kabisa), but kuwa na NIKE kuta-tusave sana, look at United, wamekuwa na misimu mibovu kwa muda mrefu kidogo, but bado wana-manage kumake big signings, big wages na turn over yao kwa mwaka bado inasoma kwenye £600m+ (still one if not the richest club in the world, ukiachana na matatizo yao on the pitch), why? because they have ADIDAS, one of the biggest sports companies in the world, kuwa na Adidas kuna wasaidia katika Jersery sales na others merchandises, marketing, and kuwa na uwezo wa ku-attract more good sponsors, because kama Adidas wapo pale, companies zingine hazitoona tabu kuingia ubia. look at Madrid with Adidas, Barca with Nike etc,

NIKE, will make us even bigger, tutakuwa na uwezo wa kupata NIKE athletes kwa urahisi, na itatufanya kuwa wakubwa zaidi katika upande wa Jerseys sales na marketing, but kama Klopp akiendelea kubaki baada ya Mkataba kuisha, will i need Nike? especially kama yeye hakubaliani nayo? well kama akibaki beyond his recent contract i'll back his decison ya kubaki na New Balance, but kama akionesha nia ya kuondoa baada ya Mkataba wake kuisha, then NIKE watahitajika sana.

But, will FSG refuse offer ya NIKE? sidhani, so at this point kuja au kutokuja kwa NIKE kutategemea zaidi maamuzi ya FSG as owners, na ni big money move, so itakuwa ni ngumu sana kwao ku-turn down. so i think Klopp will lose this battle, either a-extend or kuondoka but NIKE deal will stand.

PERSONALLY, MY TAKE:

If Klopp ana mpango wa kuondoka baada ya Mkataba wake kuisha, then NIKE deal should happen, because ukiangalia kwa bigger picture, we will need NIKE more than FSG, post-Klopp. as bado watatufanya tuwe bigger kwenye upande wa Market (off the pitch), pia bado tutakuwa na uwezo wa ku-sign good players, Man, lets face it, Klopp akiondoka mrithi wake ni lazima atakuwa SG, so combination ya SG + FSG + NB, itaturudisha nyuma sana, see? Utd wana OGS but Maguire chose them over Pep's city, you think OGS conviced him? No! ni MONEY. you'd think Utd ingekuwa taabani kiuchumi kulingana na muenendo wao now, but they're here still making big signings kwasababu wana back-up kubwa behind the scenes, vuta picha and kumbuka kipindi kile wakati tunamaliza league tukiwa wa 7-8 etc tulikiwa na uwezo wa kufanya big signings kama za Utd right now? NO, because hatukuwa na back-up and we were losing a lot of fans globally kwasababu ya lack of marketing/off-pitch strategies, see? Utd are still bigger globally despite ubovu wao uwanjani because ya off-pitch strategies ambazo ni kufanya Big signings kila summer ili ku-motivate their fans, See? Tangu Fergie amestahafu they've signed Falcao/Di Maria/Pogba/Mata/Sanchez/Lukaku/Maguire etc and Top class Young talents like Depay/Martial etc, see? Arsenal started huu mpango kwa kumnunua Ozil back then, halafu the likes of Auba/Laca and now Pepe, Chelsea did the same kwa kumnunua Pulisic kabla ya ban, na kama wasingekuwa na ban lazima wangefanya signing nyingine kubwa, (Utd wana Adidas, Arsenal wana puma and Chelsea wana Nike), well sisi kipindi kile wakati tuna-struggle tulikuwa hatuna uwezo wa ku-make big signings hence tulipoteana sana globally, then FSG Came in, and mind you, hiki kipindi chote tulikuwa na deal na Adidas, and they decided kubaki na sisi baada ya makubaliano na new owners (FSG), ambao they tried to back us kwenye transfer, but Man, we were really struggling at that time, and things started to go wrong na Adidas baada ya FSG ku-force deal ya Torres, Torres ndiyo alikuwa anaongoza kuuza jersey za LFC kipindi kile, he was a STAR - BOY, so selling Torres kwa kipindi ilikuwa ni bad move kibiashara kwa upande wa Adidas at LFC, and its funny because Adidas alikuwa ni sponsor pia wa Chelsea, but they were losing a big star kwenye upande wa jerseys at LFC, and they felt kuwa Chelsea tayari wana big stars ambao wanauza jerseys vizuri, unfortunatery FSG walikuwa wanadeal moja kwa moja na Mrusi, (Adidas tried to block the deal, but i guess they had no chance kwa Mrusi), hii ilikuwa inamaanisha kuwa Adidas walibakiwa na Star mmoja tu at LFC (SG) ambaye peke yake asingeweza kurudisha kile walichowekeza Adidas at LFC, atleast uwepo wa Torres ambaye ndiyo alikuwa main Jersey seller at that time, ungesaidia kubalance books kwa "kiasi chake" pamoja na SG, wakichangiwa na other players. so now Adidas wakajikuta wamenasa angle mbaya, remember wakati FSG wanatuchukua tulikuwa tuna tishio la kufilisiwa, and it pains to say this but Adidas walisaidia sana kutupitisha kwenye kile kipindi through mauzo ya merchandises za clubs worldwide (especially Europe as ukubwa na ushawishi wa LFC ulikuwa umepungua sana parts nyingine za Dunia, especially Africa & Asia), then baada ya FSG kuja, nguvu ikaongezeka, but baada ya Torres kuondoka mahusiano yakaharibika behind the scenes, Adidas felt kama walikuwa betrayed na FSG (so funny), nadhani 2011/12 ulikuwa ni msimu wao mwisho kama sikosei (y'all can correct me), but they remained with chelsea mpaka 2017?? (dont know), then we had to join forces with Warriors (haha, banterious).

You, can understand walichokifanya FSG, but ukweli ni kwamba jamaa walikuja LFC kwaajili kufanya biashara, so hata hivyo at that time nadhani walihitaji kuwa na kit sponsor ambaye wangeweza kum-mudu kwenye terms mbali mbali, big sponsors especially Adidas/Nike huwa wanapenda ku-facilitate biashara za club ambazo wanakuwa na direct/indirect interest, so kwa kipindi kile FSG waliona kuwa na Adidas kutawaharibia plans zao za ku-expand biashara yao at LFC, hence they got Warriors then NB, companies ambazo ni easy ku-deal nazo kulingana na size ya offers zao. so after 9 years and maybe 7 years without a Big kit deal, FSG wanaamua kuingia kwenye mazungumzo na NIKE, you'd think washabalance faida zao at LFC na ku-recover pesa yote waliyoweka wakati wanainunua Club, bigger picture ni kuwa Club ipo more than stable financially, so getting NIKE and strike a very proftable deal bila ku-upset financial balance/structure iliyowekwa for more than 7 years ni good kwa LFC's sustained dvt and even better kwa FSG katika ujazo wa faida zaidi katika *BIASHARA* yao. and to be honest najali zaidi kuhusu sustained Dvt ya LFC kuliko kitu chochote, We need that.

But, Kama Klopp, atasema kuwa anaweza akabaki, but NIKE deal isifanyike, then i'll back him 100%

...and kama atabaki na deal ya NIKE itafanyika, then Maombi yangu kwa GOD, yatakuwa yamejibiwa ipasavyo.

...If i had to choose? give me Klopp over NIKE any day of the week. I'd even (proudly) wear them ugly & structure-less NB sneakers and defend them with honour.

Klopp, any day.
man umenikumbusha mbali lol still have my original Worrior reds jerzey cant wait for Nike to come on board....

honestly i would take Klopp over Nike anytym of the the week...

but if we could have both Nike and Klopp that would be a double blessing...
 
Think, Shaqiri will leave this January..

Or, Monaco wanaweza kufanya last attempt kabla dirisha kufungwa.

i'd advice him to leave too, no point of talking about quality squad depth kama kina Lallana wanakuwa preferred kabla yake.

its just so stupid, if you really think about it.
Poor Alpine Messi...he choosed us over Man Utd and now he has to be a bench warmer....

if he is to go this window for me no hard feelings..
 
Dah ama kweli umenikumbusha majanga tuliyopitia
 
Hahahahahahahahah AIBU NIMEONA MIMI.
Usilete mipasho mkuu. Arsenal hawana team mbaya, wana team nzuri iliyokosa mtu sahihi wa kuwafikisha wanakotaka. Team ile ukimpa Klopp itatisha.

Mimi nimeeleza namna alivyokosea kupanga team yake against us....sasa unachoona aibu ni nini? By the way footbal is a game of mistakes....kuanzia tactical mistakes mpaka nje ya uwanja.
 
Nimekubali mkuu,Tumshukuru Unai kwa kuwafunga Arsenal la sivyo tusingechomoka Anfield kwa Arsenal hii.
 
Nilikua naangalia mechi na shabiki wa arsenal alikua akimtukana emery Gounduzi Nielse na wengine mm kimya, bwana bwana akainuliwa lallana nilijikuta kinywa kimefunguka naporomosha shabiki yule badala asikitike ananicheka.... Shaq Shaq Shaq moyo wangu mweupe ukiondoka japo nitaumia sana.

Wilson again bonge la free kick vs city nikaikumbuka sub ya lallana nikaporomosha tena.

Klopp anataka kuidhihirishia dunia mpira sio pesa ila...... (hata mimi sijui)

Turf Moore next....
 
Ndugu zangu tupo vizuri
Week na Burnley,ni mechi ngumu ugenini lkn Mungu yupo upande wetu.
Tuzidi shikamana ndiyo silaha yetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom