zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,322
- 9,771
Bangi, anavuta bangi ya kisengerema
Klopp huwa analeta ujuaji sana huyu broh
Klopp huwa analeta ujuaji sana huyu broh
Klopp sabu zake bhna![]()
na anamuacha Shaqiri benchiHeadless chicken "Lallana" kaingizwa.
Namwonea huruma Shaqna anamuacha Shaqiri benchi
Aaaaaaaah, hahahahahah, kwakweli ile ilikuwa ni sub ya ovyo kuwahi kutokea tangu soka lianzeYani Alipoingia Lallana niliondoka kwenye TV nikamwbia Mke wangu anitayarishie Chakula cha usiku tu nile nilale.
Yani kocha uliyebeba CL mpaka leo unatumainia mchezaji kama Lallana? Kwakweli mpaka sasahivi ninajiuliza lengo la kuingia Lallana hasa ni nini? Soccer Management?
Upo sahihi brother arsenal ni ndugu zetu wa hiyariBaada ya Liverpool, arsenal ni timu pekee ambayo sijawahi kuiombea mabaya labda tukicheza nao...na leo wangekuwa makini(pepe)dk za kipind Cha Kwanza wangeweza kuongoza au kupata zaidi ya walichokipata....
So watu wangu wa arsenal msikate tamaa hiyo sehemu mlipigiwa haijawahi kuwa salama Sana kwa timu nyingi kwenye epl tokea 2017..
Kiufupi mpo vizur an nawaona kabisa NDANI ya top four msimu huu.
Klopp huwa ana mishe za ajabu sanahuyuYani Alipoingia Lallana niliondoka kwenye TV nikamwbia Mke wangu anitayarishie Chakula cha usiku tu nile nilale.
Yani kocha uliyebeba CL mpaka leo unatumainia mchezaji kama Lallana? Kwakweli mpaka sasahivi ninajiuliza lengo la kuingia Lallana hasa ni nini? Soccer Management?
Ajabu sanana anamuacha Shaqiri benchi
Yani Alipoingia Lallana niliondoka kwenye TV nikamwbia Mke wangu anitayarishie Chakula cha usiku tu nile nilale.
Yani kocha uliyebeba CL mpaka leo unatumainia mchezaji kama Lallana? Kwakweli mpaka sasahivi ninajiuliza lengo la kuingia Lallana hasa ni nini? Soccer Management?
Sawa ila kipa bado ni mbovuna save ya Pepe? give credit where its due mr. nicola