Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kuna muda unazingua sana, Chelsea dogo kipaji hapo ni mount hao wengine tia maji tia maji , Abraham hata bench hana namba ,odoi mnapromo tu, labda Loftus cheek maana EPL anaiweza,.Hahaha mawazo mgando kivip mkuu ..hivi wale madogo wa Chelsea unaeza fananisha na wa Arsenal? Jibu ni HAPANA ..ivyo sisi tuna amini tuna kikosi kizuri tu japo sio kipana cha kuleta ushindani EPL ..mf Mount, Tomori, Tammy wakija Emirates wanaingia moja kwa moja first XI ..hii utabisha lakin ndo ukweli ..sasa hao madogo wenu hata wakija Yanga fc wanapelekwa moja kwa moja kikosi B kama sio C.
Ngoja tukikutana ndo utajua moto wa wale madogo uko vipi.
Kila la kheri Chelsea![]()
Kuwen wavumilivu msimu huu mmalize nafas ya 10 , msimu ujao mjipange


