Frank mtanganyika
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 511
- 808
Na bado hatuko kwny intensity yetu tayar tumeshaanza kuwaacha watu magepu
Ngoja nikupotezee tu maana hauna akili.Chief, wewe ni official loser wa big time
Tumepiga Norwich nne kabla mane hajaja, don't be such myopic and stupid
In super cup, firmino changed the game
Jana firmino again was magical
Your malice is beyond mke mwenza wa uswahilini
Misimu mitatu iliyopita tukiwa tunaongoza ligi .. wewe ulikuwa nafasi ya sita uko.. kwa iyo ni vitu vya kawaida wala usishangae sanaNa bado hatuko kwny intensity yetu tayar tumeshaanza kuwaacha watu magepuView attachment 1185732
Mosdef & king ngwaba miaka ya nyuma nilikuwa napitia humu kusoma chambuz zao tu , siku hizi tuna kina Ollachuga Oc


yani kama mimi nilishindwa kumfunga Leicester na Man united kafeli kwa Wolves wewe ndo utaweza mkuu..hii arsenal kwakweli ni ya kuonewa huruma sana aise..Exactly mkuu yani sisi Chelsea tunategemea baada ya misimu kama miwili iv ya kustrugle tuje tubebe makombe yote kuanzia EPL mpka Community shield ..wakati huo akina Salah umri utakuwa unawatupa mkono, Mane na yeye atageuka kuwa kama pogba ..firmino ni Brazilian tu kama coutihno ivyo mpira wake utaisha mapema ..man united bdo watakuwa wanamuamini Mata, Rashid na lingard ivyo hawatosajili ..arsenal ya Auba mweny miaka 30+, atakuwa amechoka sana..Lampard akipewa muda atakuja kuwafanyia mema sana Chelsea...wasiwasi wangu ni huyu Mrusi timuatimua hapo tu ndio ishu....
Mount anakomazwa hapa hapa EPL, sisi Grujic anakomazwa Ujeremani na pia unadhani mbele ya Hendo,Gini angapata namba?
Hata kwa Chelsea na wasiwasi bila kuwa kwenye kile kifungo hawa makinda sidhani kama hata benchi wangeliona....
hapa ni pale tunaposema ' some disspointment in life turns to be blessings' kwa hapa ni baraka kwa makinda wanapata fursa kama hizi za kucheza kikosi cha kwanza...
Rudi kwenye thread lenu huku tuko wenye akili tuuuNgoja nikupotezee tu maana hauna akili.
KitukoooooooooMisimu mitatu iliyopita tukiwa tunaongoza ligi .. wewe ulikuwa nafasi ya sita uko.. kwa iyo ni vitu vya kawaida wala usishangae sana
Huyu raia kaibuka daaaaaahExactly mkuu yani sisi Chelsea tunategemea baada ya misimu kama miwili iv ya kustrugle tuje tubebe makombe yote kuanzia EPL mpka Community shield ..wakati huo akina Salah umri utakuwa unawatupa mkono, Mane na yeye atageuka kuwa kama pogba ..firmino ni Brazilian tu kama coutihno ivyo mpira wake utaisha mapema ..man united bdo watakuwa wanamuamini Mata, Rashid na lingard ivyo hawatosajili ..arsenal ya Auba mweny miaka 30+, atakuwa amechoka sana..
Ivyo tutaweza kujiimarisha zaid maana madogo wanazidi kugain confidence..
Sikuangalia game mkuu nipe dondoo ilikuajeManure halisi ndiye huyu tuliyemuona
Hahahahahhaa una mawazo mgando sanaExactly mkuu yani sisi Chelsea tunategemea baada ya misimu kama miwili iv ya kustrugle tuje tubebe makombe yote kuanzia EPL mpka Community shield ..wakati huo akina Salah umri utakuwa unawatupa mkono, Mane na yeye atageuka kuwa kama pogba ..firmino ni Brazilian tu kama coutihno ivyo mpira wake utaisha mapema ..man united bdo watakuwa wanamuamini Mata, Rashid na lingard ivyo hawatosajili ..arsenal ya Auba mweny miaka 30+, atakuwa amechoka sana..
Ivyo tutaweza kujiimarisha zaid maana madogo wanazidi kugain confidence..
Sasa wewe msimu una timu? Tatizo hutaki kukubali msimu huu hauna timu , sasa Leicester ungemfungaje na forward ya jirud ,na wolves angefungwaje na forward ya kina lingard?yani kama mimi nilishindwa kumfunga Leicester na Man united kafeli kwa Wolves wewe ndo utaweza mkuu..hii arsenal kwakweli ni ya kuonewa huruma sana aise..
Jamaaa kaona abadili gia anganiHahahahahhaa una mawazo mgando sana
Yani yeye kushindwa kuwafunga Leicester anaona timu zote zitatoa sare zitakapo kutana na LeicesterSasa wewe msimu una timu? Tatizo hutaki kukubali msimu huu hauna timu , sasa Leicester ungemfungaje na forward ya jirud ,na wolves angefungwaje na forward ya kina lingard?
Nimecheka sanaDah sio wa kupona leo madaktari wamesema anaweza kukatwa mguu
Duh imekaa powa sana kwenu in paper ila sasa kwenye utekelezaji ndio balaa linaanza na sana sana ni pale ambapo Roman hanaga uvumilivu kwa makocha wake hapo darajani....Exactly mkuu yani sisi Chelsea tunategemea baada ya misimu kama miwili iv ya kustrugle tuje tubebe makombe yote kuanzia EPL mpka Community shield ..wakati huo akina Salah umri utakuwa unawatupa mkono, Mane na yeye atageuka kuwa kama pogba ..firmino ni Brazilian tu kama coutihno ivyo mpira wake utaisha mapema ..man united bdo watakuwa wanamuamini Mata, Rashid na lingard ivyo hawatosajili ..arsenal ya Auba mweny miaka 30+, atakuwa amechoka sana..
Ivyo tutaweza kujiimarisha zaid maana madogo wanazidi kugain confidence..
LonerganLol, Comedy FC..
huyo Keeper mwingine tuliyemsajili baada ya Adrian, anaitwa nani? yaani hata sikujisumbua kumfatilia..
Ndiyo atakuwa golini game ya kesho? Lord have mercy.
Mim nimeachana na Leicester mapema tu ..nasubiri aje kukutana na nyie maana tuna amino hatatuangusha kabisa..Yani yeye kushindwa kuwafunga Leicester anaona timu zote zitatoa sare zitakapo kutana na Leicester



Hahaha mawazo mgando kivip mkuu ..hivi wale madogo wa Chelsea unaeza fananisha na wa Arsenal? Jibu ni HAPANA ..ivyo sisi tuna amini tuna kikosi kizuri tu japo sio kipana cha kuleta ushindani EPL ..mf Mount, Tomori, Tammy wakija Emirates wanaingia moja kwa moja first XI ..hii utabisha lakin ndo ukweli ..sasa hao madogo wenu hata wakija Yanga fc wanapelekwa moja kwa moja kikosi B kama sio C.Hahahahahhaa una mawazo mgando sana


