Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Yule Adrian ameshatuvuruga akili kabisa
Jamaa ni kipa mzuri sana, lile kosa ni wake-up call. Yuko vizuri, hata Allison alibumisha kwa swaga kama hizo hizo.
Yule Adrian ameshatuvuruga akili kabisa
ina maaana Allison sio wa kupona leo ama...tumehusishwa na Michael Vorm, former spurs goolie.
klopp hakujua mignolet anaondoka?
Sisi hatuna maneno mengi ..tulia muda ufike ..uyo vardy keshajichokea tunamkabizi kwa zouma tu ..hamna kitu atafanya ..
King of London (K.o.L)
#KTBFFH![]()
Na mtaingea sana mwaka huuHongereni sana Liverpool,wengi hatukutegemea. what a come back!
Ggmu.
Nmekopi sana mambo ya mosdefHa ha ha!
Kuna siku nilifanya copy paste ya post ya MosDef nikatema madini kijiwe fulani hivi, ilikuwa issue za formation.
Mpaka leo kile kijiwe wananiona kama mtalaamu wa soka

Hahaaaaaaaaa wewe jamaa umenichekesha sanaDah sio wa kupona leo madaktari wamesema anaweza kukatwa mguu
lol ingekua anacheza huku futuhi pengine hivyo..Dah sio wa kupona leo madaktari wamesema anaweza kukatwa mguu
Nadhani Jumamosi lazima atabadili mfumo pale kati anaweza akaanza na hendo fabinho na chamberlainKilichobaki ni kumuamini tu klopp hamna namna.
Hii system ya high defensive line bado sijaielewa vizuri",.
Je,
1.Inachosha wachezaji? au
2.Wamechoka tu na preseason (tulicheza mechi nyingi na timu ngumu?
Tunavyocheza kama wacheza wameshacheza dakika 70 huko kabla ya mechi yenyewe.
Ile intensity yetu haipo walau 2nd HF kidgo hua tunakaa sawa.
Vs City
Vs Norwich
Vs Chelsea
Vs S'ton
Ingawa stats zinatubeba ila ile rhythm bado.
Au klopp anajaribu syatem hii bila kua na wachezaji wenye kumbeba?
Saturday tutapata majibu kama tutachange na kufanya high pressing au tutakua hivi hivi.
I Love you LiverpoolFc.
Duuuuuuh, acha wakomeEmre Can nayeye ameshaambiwa wazi na Sarri kuwa hayupo kwenye mipango yake
Yaani keita hata awe fit asilimia 400 hawezi kuanza game yoyote maana amekuwa injury prone sasaTukiachana na the so called fucking soccer management, sasa tuzungumzie player management!
Kwenye game ya juzi nadhani sote tumeona jinsi AOC alivyoanza kuregain kile alichokiacha last season.
Sasa management nzuri ya mchazaji kama huyu ni kumpa more game time na si kumueka bench ukategemea aboreke akiwa bench.
Na njia pekee ya kumrudisha AOC halisi ni kumuanzisha next game against Arsenal ili ajenge confidence.
Imagine na Keita awe fit then ukute Mido ya Keita-Fabinho-Chamberlain nadhani Kina Bobby, Salah na Mane hakutakuwa na game watakayokosa magoli 2+ kwani ile tabia ya kushuka chini kuja kuchukua mipira itaondoka na badala yake watakuwa wanalishwa tu na Keita & OX.
Lakini sitoshangaa next game kukuta Mido ya Gini-Milner-Hendo
Wee yaani hujuiagi wachezaji wa Klopp in big games ni wale usiotarajia kamwe...defence pale utashangaa TAA, Gomez, VVD Robbo....Kati pale utaona Gini, Fabi, Hendo...au Lallana, Fabi, Hendo..Tukiachana na the so called fucking soccer management, sasa tuzungumzie player management!
Kwenye game ya juzi nadhani sote tumeona jinsi AOC alivyoanza kuregain kile alichokiacha last season.
Sasa management nzuri ya mchazaji kama huyu ni kumpa more game time na si kumueka bench ukategemea aboreke akiwa bench.
Na njia pekee ya kumrudisha AOC halisi ni kumuanzisha next game against Arsenal ili ajenge confidence.
Imagine na Keita awe fit then ukute Mido ya Keita-Fabinho-Chamberlain nadhani Kina Bobby, Salah na Mane hakutakuwa na game watakayokosa magoli 2+ kwani ile tabia ya kushuka chini kuja kuchukua mipira itaondoka na badala yake watakuwa wanalishwa tu na Keita & OX.
Lakini sitoshangaa next game kukuta Mido ya Gini-Milner-Hendo
Keshasema msimu huu namba tano na golikipa tu ndo watabaki salama waliibaki wote ni mzunguuko muhimu wawe fiti tuNa
Nadhani Jumamosi lazima atabadili mfumo pale kati anaweza akaanza na hendo fabinho na chamberlain