Sasa hao Keita na Ox wako wamecheza mechi ngapi na wameshafanya kubwa lipi pale za kuwa hosiptali muda mwingi?
Na Jengine ni kwamba kuimarika kwa Timu si kuwa na Idadi ya Wachezaji Wengi.
Bali kuimarika kwa timu ni kuwa na Wachezaji wenye Vipaji.
Kwahiyo Kuwa na Kundi kubwa la kina Hendo, Lovren, Kent, Brewster, Gini, Milner, Lonegar, Origi, Lallana na wengine haimaanishi kuwa ndiyo Tuna bonge la Timu.
Kuwa na Wachezaji Wengi wenye Vipaji na uwezo wa kujituma ndiyo Kuwa na Timu imara.
Sitokuwa na Muda wa kuomba eti tuwe na rundo kubwa la Magarasa ili tuonekane tuna kikosi kipana! Upana gani huo wakati akiumia Mane tu tunakuja hapa kulizana?
Man City anaumia Aguero na wanakiwasha moto bila ya hata kuzungumzia Pengo la Aguero.
Front 3 ya Man City:-
1) Sterling - Aguero - Bernardo Silva
2) Sane - Jesus - Mahrez
Front 3 ya Liverpool:-
1) Mane - Bobby - Salah
2) Origi - Brewster - Xhaqiri
Mido ya Man City:-
David Silva - Rodri - KDB
Foden - KDB - Guandogan
Mido ya Liverpool:-
1) Gini - Fabi - Hendo
2) Keita - Milner - Ox
Hiyo ya Man City ndiyo maana ya kikosi kipana.
Tofauti ya Man City na Liverpool.
√ Liverpool wanatafsiri kuwa na Wachezaji Wengi ndiyo kikosi kipana na ubora wa timu.
√ Man City wanatafsiri kuwa na Wachezaji Wenye Vipaji na Uwezo ndiyo Kikosi kipana na ubora wa timu.
√ That's why Liverpool amekusanya rundo la Magarasa na prone injuries kama Lovren, Lallana, Hendo, Lornegar, Milner, Gini, Xhaqiri akiamini kuwa kundi hilo ni depth na ndiyo kikosi kipana.
√ That's why Man City amefanya utaratibu wa kuachana na Kompany, Kutafuta mbadala wa Fernandinho ambaye ni Rodri, Na kila msimu kusajili Wachezaji bora na wenye Vipaji akiamini Ubora na Kipaji cha Mchezaji ndiyo Timu imara na kikosi kipana.