Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Nashauri Kipa asichezeshwe Back pass
Nilisema hapa
Dah! Hakuna lisilofaa! Huyu anajitahidi kulingana na uwezo wake, Tatizo lake kubwa lipo kwenye kuanzisha mipira tu.
Pia hawezi kuplay ball by foot hasa pale anapopewa Back pass.
Hope ataendelea kuwa na Confidence