Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
HahahaaaaaaNaona Echo wameandika makala ya OX kumsifia! Ndiyo wanataka Kumchoma Hendo nini!!!!!!!
HahahaaaaaaNaona Echo wameandika makala ya OX kumsifia! Ndiyo wanataka Kumchoma Hendo nini!!!!!!!
Good, brother..We jamaa habari yako!
Hope you are doing great.
Wakisare itapendeza , man u & Chelsea wakibondwa weekend itakuwa nzurCity wamecharuka huko
Hahahahahah, kila mtu ashinde mechi zake za nyumbani bhanaWakisare itapendeza , man u & Chelsea wakibondwa weekend itakuwa nzur
uzur wa var inakuacha unashangilia kwanza then inatoa matokeoHahahahahah, kila mtu ashinde mechi zake za nyumbani bhana
Kwani mechi ijayo mnapiga na Chelsea tena muwale 4?Full time
City 2 - 2 spurs
Fursa iii man u lazima tukae juu![]()



Why? Did you see anything interesting?When are we playing City and Spurs?
HahahaaaaaaaaaaaKwani mechi ijayo mnapiga na Chelsea tena muwale 4?
Good, brother..
Thans God, nafanya vizuri..
Don my man we are hanging by th thread...in the meantym t look like we take one game at a go n review after th final whistle maana kwa kweli we are living very tense 90+ minutes...
Mimi naanza kuesabu point kesho..Lin unajipiga ban tena maana msimu huu ban za kujipiga mwenyewe hazitakauka