OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
ukianza kupigwa pigwa ovyo ndo nitaacha..Hivi utaacha lini kuvuta Bange?
ukianza kupigwa pigwa ovyo ndo nitaacha..Hivi utaacha lini kuvuta Bange?
jamani babu the best in the world bado tunae lol and i was veeeeeeery happy Roma wamchukue...Liverpool cancel Dejarn Lovren transfer
We Cheka Cheka tu ..wakati wako ndo huu ..kilio kinakuja!!Hahahahaaaaaaa
kabisaaa Real Betis play some damn cool football...he is ready made for them...Good footballer..
hope atakuwa na maisha mazuri Real Betis.
Sasa mkuu hii Liverpool ya sasa kuna kombe lolote watabeba kweli??Daaah....! Haya makombe tunachukuwa kwako au huko yanako tokea yatakuwa yameisha !?
New Balance wanaodoka....when is Nike coming onboard...some nice news Nike is the real brand..We're getting Nike.
Lets wait, big signing watakayokuja nayo at LFC.
Lovren jamani apelekwe under 23 huko maana huyu hua namuona kama betri la lori la Moro anytym anaharibu....mpaka Klopp kaamua aodoke alishaona hana jipyaa....ohhh how i wish Hendo/Milli huu nae uwe msimu wa mwisho...we need space ya akina Grujic...Mike Edwards having a shocker this summer.
failed to sell Wilson/Kent/Lallana etc,
Now failing to offload Lovren too, pulling out because Roma cant pay £15m, nani mwenye akili timamu atatoa hicho kiasi kwa beki aina ya Lovren? a 30 year old shit CB with record mbaya ya majeruhi..
Lovren kubaki kwenye Team, kunaharibu Plans za Klopp, anataka kuanza kuwaingiza kina Ki jana/VDB kwenye first squad taratibu, sasa kama Lovren akibaki, there's no way kina Ki-Jana/VDB wataanza kabla yake, he's a 100k per week invesitment, so we'll be forced to play him, and i can guarantee you akibaki this summer, ataishia kutu-cost kwenye game moja muhimu sana.
Hawezi acha huyo anatumia kama mboga kama za majaniHivi utaacha lini kuvuta Bange?
Yani hawa jamaa bana. Washajiona ni title contendersNi man u huyo, zile 4-0 anaona tayari wana timu ya ushindan .

Mmeanza maneno ?Mna kikosi dhaifu sana ..allison, Adrian wote hakuna ..VVD keshaanza kuchoka, Salah naye ivyo ivyo, firmino hana sumu yeyote ya kutisha ..apo kati fabihno anapwaya, milner mzee..Ox, Keita ..ni wahudhuriaji bora wa hospital.. Mane kwa mbaali ndo anaibeba Liverpool ..Gomez, matip ni wachezaji wa kuapanda na kushuka, shaqir ni bench wormer mnategemea nin tena? Kama Chelsea ya akina Tomori, Mount, Tammy, Zouma, imewatoa kamasi akina Salah mkikutana na giant club kama Barca(mtasingizia mliifunga), Juventus, Spurs na madogo kama akina Wolves, Leicester, aise...
Yani kama Liverpool hamna kombe atabeba msimu huu sijui sasa Chelsea watagusa kitu gani!Sasa mkuu hii Liverpool ya sasa kuna kombe lolote watabeba kweli??
Hii team haikupaswa kuwa na uzi humu ndani #mashabiki zake wengi wamekufa miaka ya 70 na 80![]()
Lin unajipiga ban tena maana msimu huu ban za kujipiga mwenyewe hazitakaukaWe Cheka Cheka tu ..wakati wako ndo huu ..kilio kinakuja!!
Mm nawachora tu , maana sisi wahafidhina wa EPL ,sio wageni wa man u , na timu yao tuliona ilivyopoteana kwa hii Chelsea kabla hawajaja kupata magoli baada ya Zuma kuchomoa betri.Yani hawa jamaa bana. Washajiona ni title contenders![]()
![]()
Mkuu umekuja kwa kasi sana ,OK maadamu sheria za jf zinakupa Uhuru wa kuropoka ropoka tu,.Hii livapool ni ji team la kikafiri![]()