Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Toka tuwapige barca wamekua na wenge sana

Bado wanasubiri kona ya Trent
IMG_20190815_200543.jpeg
 
Mna kikosi dhaifu sana ..allison, Adrian wote hakuna ..VVD keshaanza kuchoka, Salah naye ivyo ivyo, firmino hana sumu yeyote ya kutisha ..apo kati fabihno anapwaya, milner mzee ..Ox, Keita ..ni wahudhuriaji bora wa hospital.. Mane kwa mbaali ndo anaibeba Liverpool ..Gomez, matip ni wachezaji wa kuapanda na kushuka, shaqir ni bench wormer mnategemea nin tena? Kama Chelsea ya akina Tomori, Mount, Tammy, Zouma, imewatoa kamasi akina Salah mkikutana na giant club kama Barca(mtasingizia mliifunga), Juventus, Spurs na madogo kama akina Wolves, Leicester, aise...
Kitukooooooo..... Eeeh

Hii type yako tunaita ni jamii ya chanjila

Kamudomo-mudomo
 
Mna kikosi dhaifu sana ..allison, Adrian wote hakuna ..VVD keshaanza kuchoka, Salah naye ivyo ivyo, firmino hana sumu yeyote ya kutisha ..apo kati fabihno anapwaya, milner mzee ..Ox, Keita ..ni wahudhuriaji bora wa hospital.. Mane kwa mbaali ndo anaibeba Liverpool ..Gomez, matip ni wachezaji wa kuapanda na kushuka, shaqir ni bench wormer mnategemea nin tena? Kama Chelsea ya akina Tomori, Mount, Tammy, Zouma, imewatoa kamasi akina Salah mkikutana na giant club kama Barca(mtasingizia mliifunga), Juventus, Spurs na madogo kama akina Wolves, Leicester, aise...
Hizo kauli zako zote zinavumilika ila hiyo ya firmino embu ifute na ututake radhi. Halafu barca ipi unaiongelea ile iliyofungwa nne na kina origi au hii iliyopigwa na bilbao wakiwa wanazurura pale uwanjan
 
Kwakweli midfield hatuna kitu pale hawa Hendo Milner sjui wanafanyaje mpaka leo.
 
Mkiona timu hii ya akina Salah, VVD, Mane, haibebi EPL basi hamtachukua tena na itawachukua muda kuireplace. Mmshukuru sana Klop lakn mjue atabaki kwa miaka mingi maana ndogo yake ni either aje kufundisha Bayern na hata National Team. Sasa mashabiki wataongezeka lini? Alafu usiilinganishe Chelsea na Liver kwenye mashabiki. Chelsea tuko mashabiki wengi sana.
Sema mna mashabik weng hapo mtaan kwenu sio dunian
 
Mkiona timu hii ya akina Salah, VVD, Mane, haibebi EPL basi hamtachukua tena na itawachukua muda kuireplace. Mmshukuru sana Klop lakn mjue atabaki kwa miaka mingi maana ndogo yake ni either aje kufundisha Bayern na hata National Team. Sasa mashabiki wataongezeka lini? Alafu usiilinganishe Chelsea na Liver kwenye mashabiki. Chelsea tuko mashabiki wengi sana.
Chelsea mko mashabiki Wengi?

Kumbe we hujui hata ulimwengu wa soka ukoje... Gugo ikusaidie Tu

Chelsea is a backyard pet wa Roman
 
Grujic anatakata tu huko alipo wakati sisi tunastruggle kwenye midfield

Dah! Jamaa anaupiga mwingi balaa, Nadhani hii ndiyo season Yake ya mwisho kuwa kwenye loan, next season tutakuwa naye kwenye kikosi.

Lakini atasubiri mpaka Hendo atundike daluga.
 
Mkiona timu hii ya akina Salah, VVD, Mane, haibebi EPL basi hamtachukua tena na itawachukua muda kuireplace. Mmshukuru sana Klop lakn mjue atabaki kwa miaka mingi maana ndogo yake ni either aje kufundisha Bayern na hata National Team. Sasa mashabiki wataongezeka lini? Alafu usiilinganishe Chelsea na Liver kwenye mashabiki. Chelsea tuko mashabiki wengi sana.

Mashabiki wengi wa wapi Mkuu? Labda muko wengi kwenu Uliyampiti.
 
Dah! Jamaa anaupiga mwingi balaa, Nadhani hii ndiyo season Yake ya mwisho kuwa kwenye loan, next season tutakuwa naye kwenye kikosi.

Lakini atasubiri mpaka Hendo atundike daluga.
Kocha wetu ana falsafa za morinho hapendi vipaji yeye ni wanaojituma tu na miguvu ndomana hata tushinde 6 mapema kama milner yupo nje atamuungiza badala ya kuwapa uzoefu makinda
 
Na Wale Barcelona bila ya Messi ni sawa na Kigenge cha Panyarodi wa Tandika
 
Kiukweli kucheza na Southampton Away ni real test today.

Hope nitaiona best Line-up
 
Nimeshaachana na mawazo ya kushinda kwa cleansheat sasa hivi ni kufikiria point 3 tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom