Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkiona timu hii ya akina Salah, VVD, Mane, haibebi EPL basi hamtachukua tena na itawachukua muda kuireplace. Mmshukuru sana Klop lakn mjue atabaki kwa miaka mingi maana ndogo yake ni either aje kufundisha Bayern na hata National Team. Sasa mashabiki wataongezeka lini? Alafu usiilinganishe Chelsea na Liver kwenye mashabiki. Chelsea tuko mashabiki wengi sana.
nakubaliana na wewe Chelsea mna fan base kubwa kuliko sisi.

#Let's talk about success
 
Hii team haichukuwi ubingwa mpaka nipate wajukuu.. Sasa alafu sijaoa
 
Luggage of stress.

dahh wish 3 points.
natumaini yapaswa kua kwa front thre lazima watumie chances zote watakazopata.

Taarifa mpya ya muda huu inasema Adrian anaanza yuko fit

IMG_0629.JPG
 
Hapo sawa. Beki TAA na Matip akianza na VVD. Kati angalau kuna forward-minded person.
IMG-20190817-WA0016.jpg
 
Kwenye Mido sijui game plan ya Klopp but no comment at all mpaka nione watakavyodeliver
 
Kama kawaida Front 3 ni punda wetu hawa Mwanzo mpaka mwisho wa Msimu.
Akikosekana mmoja tu hatuna safari.
 
Mpaka sasa sijajua kuwa Hendo na Fabinho wamepumzishwa kwasababu ya Game ya Arsenal ama kuna reason behind ya kuachwa bench.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom