No man, he's not tired at all, hiyo new role yake na jinsi Klopp anavyoanza ku-introduce ishu ya "high line" kuanzia kwenye backline hasa FBs, ndiyo kunafanya azidi kuwa useless, either play him as a 6/kama 2nd creator upfront (kwenye box), au bench him for good. issues za kubadilisha favorite players roles uwanjani ili kuwafit-in, hazifai.
Man, feelings zangu about this season, ni "mixed", i had a lot of expectations baada ya kushinda CL, because nilihisi tungetumia ile nafasi kujaribu kuimarisha kikosi cha kwanza, na squad kwa ujumla, but lack of signings (even basic senior squad signings), kumefanya nipunguze matumaini kwa kiasi kikubwa sana.
Kuwa na top class players kama VVD/Faby/Salah/Mane/Firmino and Keita/Ox (bila injuries), and most of all having Klopp kunatupa ile edge ya kuendelea kuchallenge, i think we'll challenge again, but it will be much harder this season, Spurs wamefanya good additions this summer, and if (only IF), Poch akiweza ku-implement his ideas vizuri na ku-adjust his new siginings kwa mafanikio, watakuwa ni big threat kwetu this season, and on paper now Arsenal wana a good squad and a very strong starting XI, but wao kuwa na Emery kunaondoa wasiwasi (lol), overall, we still have a better/strong first XI than Spurs/Arsenal/Utd/Chelsea, but 1 long term injury to one of VVD/Faby/Salah/Mane/Bobby/andy/Trent and we're screwed.
A top 2/3 finish and one of CL (Klopp's miracle)/FA/CC will be a good season.