Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Nahitaji 3 points tu
Mjiandae kunyolewa na arsenalMpaka sasa sijajua kuwa Hendo na Fabinho wamepumzishwa kwasababu ya Game ya Arsenal ama kuna reason behind ya kuachwa bench.

Gini as a 6 (DM)Kwenye Mido sijui game plan ya Klopp but no comment at all mpaka nione watakavyodeliver
Fabinho hakuwa poa, nadhani alipata kamshtuko ka msuli game ya Chelsea.Mpaka sasa sijajua kuwa Hendo na Fabinho wamepumzishwa kwasababu ya Game ya Arsenal ama kuna reason behind ya kuachwa bench.
Klopp anampigisha jaramba Lallana la nini?
Gini as a 6 (DM)
Milner as a 2nd holder (LCM)
Ox as a false b2b (8), playing from central areas behind the front 3.
433 formation.
we can't even string 3 passes together.I don't like what I am watching.