Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
This man will win everything
Kwa ile midfield niliyoina tangu community shield mpaka game ya jana naamini Grujic anaingia moja kwa moja kwenye lineupNjia pekee kwasasa ni Kusajili 2 Midfielders wa Kuungana na Fabinho then tupromote Madogo wawili kama Backup mmoja wapo awe ni Grujic.
Then Gini n Hendo wabaki kama ni Backup ya kuadd uzoefu kwa Newly promoted one.
Halafu tuwarelease prone injuries wote Keita & OX coz hatuwatumii ipasavyo muda wote wapo Wodini.
Lallana na Milner waondoke kama Free agent.
Brewster, Harry Wilson na Origi wanatosha Kuwabackup Salah, Mane na Firmino kwahiyo haina haja ya kusajili Striker yoyote.
Yani tukiboresha Mido mbona tumemaliza kazi!!
Yani nimekaa kwa Makini Nikajiuliza kwanini Pep msimu wa Tatu huu simsikii kubid kwa Striker yeyote badala Yake ananunua Mido tu na kuzijaza Kwenye kikosi chake! Nikagundua Kumbe Mido zake ndiyo zinazofanya EPL akaiona rahisi kwake.
Kwasasa niwazi kuwa katika Top Six sisi Liverpool ndiyo Timu yenye Weakest Midfield kuliko timu yoyote ile ya Top 6 bali tunabebwa na Front 3 tu ndoyomana tunashinda. Hivyo usajili unahitajika.
Hamna mchezaji simpendi liva kama handasoniklop analalamika sana herndason haruki kabisa koni
Yes tukibeba EPLMatch ya pili tu meshaanza kuijudge timu..??no wonder mkianza mambo yenu ya "klop out"

Hahaha aaronTunaangalia vikos kwanza tunatoa tathmin , next mech kuna kipigo cha 2+
Uchambuzi bora kabisaNjia pekee kwasasa ni Kusajili 2 Midfielders wa Kuungana na Fabinho then tupromote Madogo wawili kama Backup mmoja wapo awe ni Grujic.
Then Gini n Hendo wabaki kama ni Backup ya kuadd uzoefu kwa Newly promoted one.
Halafu tuwarelease prone injuries wote Keita & OX coz hatuwatumii ipasavyo muda wote wapo Wodini.
Lallana na Milner waondoke kama Free agent.
Brewster, Harry Wilson na Origi wanatosha Kuwabackup Salah, Mane na Firmino kwahiyo haina haja ya kusajili Striker yoyote.
Yani tukiboresha Mido mbona tumemaliza kazi!!
Yani nimekaa kwa Makini Nikajiuliza kwanini Pep msimu wa Tatu huu simsikii kubid kwa Striker yeyote badala Yake ananunua Mido tu na kuzijaza Kwenye kikosi chake! Nikagundua Kumbe Mido zake ndiyo zinazofanya EPL akaiona rahisi kwake.
Kwasasa niwazi kuwa katika Top Six sisi Liverpool ndiyo Timu yenye Weakest Midfield kuliko timu yoyote ile ya Top 6 bali tunabebwa na Front 3 tu ndoyomana tunashinda. Hivyo usajili unahitajika.
Mimi nadhani tuachane kwanza na hii Formation 4 3 3 kwa sasa,Klopp ajaribu ku - switch kwa 4 2 3 1.Njia pekee kwasasa ni Kusajili 2 Midfielders wa Kuungana na Fabinho then tupromote Madogo wawili kama Backup mmoja wapo awe ni Grujic.
Then Gini n Hendo wabaki kama ni Backup ya kuadd uzoefu kwa Newly promoted one.
Halafu tuwarelease prone injuries wote Keita & OX coz hatuwatumii ipasavyo muda wote wapo Wodini.
Lallana na Milner waondoke kama Free agent.
Brewster, Harry Wilson na Origi wanatosha Kuwabackup Salah, Mane na Firmino kwahiyo haina haja ya kusajili Striker yoyote.
Yani tukiboresha Mido mbona tumemaliza kazi!!
Yani nimekaa kwa Makini Nikajiuliza kwanini Pep msimu wa Tatu huu simsikii kubid kwa Striker yeyote badala Yake ananunua Mido tu na kuzijaza Kwenye kikosi chake! Nikagundua Kumbe Mido zake ndiyo zinazofanya EPL akaiona rahisi kwake.
Kwasasa niwazi kuwa katika Top Six sisi Liverpool ndiyo Timu yenye Weakest Midfield kuliko timu yoyote ile ya Top 6 bali tunabebwa na Front 3 tu ndoyomana tunashinda. Hivyo usajili unahitajika.
Mimi namkubari sana herndason na miliner hasa wakianzishwaga nawapenda mno tena ukute wameanzishwa game na man city na ambavyo sio wabunifu mpira kitabuni kama himidi mao waga nacheka sanaHamna mchezaji simpendi liva kama handasoni
HahahaMimi namkubari sana herndason na miliner hasa wakianzishwaga nawapenda mno tena ukute wameanzishwa game na man city na ambavyo sio wabunifu mpira kitabuni kama himidi mao waga nacheka sana

Henderson aling'aaa kipindi Liverpool haina talents sasa wanaona aibu kumfukuzaHahaha
Unakubali ukilaza wao
Handason nadhan alimroga klopp
Matumain yapo , tuna project inaisha msimu ujao , now tunafocus kurud UCL .Hahaha aaron
Vipi wewe timu yako kuna matumain yeyote ?
Kwa wachezaji wa liver hii 4 3 3 ndio inawafaa .Mimi nadhani tuachane kwanza na hii Formation 4 3 3 kwa sasa,Klopp ajaribu ku - switch kwa 4 2 3 1.

Golikipa amefanya kazi yake vzr
Chelsea inaenda kucheza championship msimu ujao, ni timu ambayo kwa sasa inacheza jihadi tu hakuna lolote mbinu na mipango hakuna, wanakimbia hao uwanjani daaaah, au preseason wenzetu walikuwa wanafanya mazoezi ya kukimbia?

Kwa Fabinho hapo jana uliona kama nilivyoonahawa vijana hawana tene ile intensity ya last season...Fabinho pale kati ipo shinda we are being overrun every now n then...jana Chelsi hawakua makini but hii gemu was thiers to win...
japo tumeshinda hiii timu naona majanga tuedako...
tumekatika balaa kati na kule nyuma hatusomeki.
.
Teh mna focus kurud ucl hahhaaMatumain yapo , tuna project inaisha msimu ujao , now tunafocus kurud UCL .
Utabiri wangu wa kwanza kabisa ulikuwa Liverpool anashinda. Sema mchezo ulivyokiwa unaendelea nilikuwa natoa maoni.Una nyota hafifu sana kwenye utabiri
Tunachotaka sasa hivi ni ushindi na vikombe, mpira mzuti na mwingi tutacheza baada ya kabati kujaaa