ryana fan
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 2,632
- 3,056
Na jpil kwa Leicester utakuja na ngonjera hizi hizi
Lampard ana mpira mzuri akipata muda,na wachezaji wazuri, na sio timu yenye presha kama Chelsea,
Leicester naona wakiwanyoa na kichupa bila ganzi
Wewe huwa utabiri wako upo kwenye social media. Unakuwa na matokeo mkononi. Hata tukifungwa na leicester ni moja ya matokeo.
Matokeo huwa kuna Win, Draw &Loss. Na timu zote zinakuwa na lengo moja ya kupata points 3. So ukizidiwa mbinu mnafungwa.
Chelsea foreva
