Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,854
Sio penat
Refa ...... Aaaha
Refa ...... Aaaha
Daah Adrian bana
Acha kulalamika chezeni mpiraSi tunalalamikaga haki sawa cheki hawa mademu walivyoharibu mpira leo
Refa mwanamke hana mpango na kuangalia VARSio penat
Refa ...... Aaaha
Ni hatari mkuubadala ya kumtoa Salah anamtoa Mane.
Klopp mambo gani unafanya sasa???
Afadhali aisee ningeambia nn watu
Kajinga tuRefa mwanamke hana mpango na kuangalia VAR
Mkuu ulitegemea utakutana na andazi ***** kumbe muhogo. Chelsea ni mbovu ila linapokuja suala la kombe hata akipoteza basi ni kwa mbinde sana.Leo on vizuri tukakipiga kile kigenge cha 2004 mapema kabisa.
Si ndio mkuu ..yani kwa mbinde sanaaaaaMkuu ulitegemea utakutana na andazi ***** kumbe muhogo. Chelsea ni mbovu ila linapokuja suala la kombe hata akipoteza basi ni kwa mbinde sana.
Ila anachezesha vizuri tu mbona.Kajinga tu
Kajinga sana haka kademu
Utasubiri sana.Mwenye Liverpool kapiga la 2
Bado moja niendelee na yangu