Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 13,576
- 28,546
May he get better n come back strongly...Initial fears for Alisson Becker is that he will be out for 4-6 weeks. Indications that he has torn his calf. If lay-off is to longer end of the scale, he could miss first Champions League group game in September
Tusubiri habari rasmi toka kwa Klopp Monday
Umeisha anza madudu yako mapema sana na baadae huwa unaona aibu!Guardiola anajua nini anakitafuta
Tayari ameshakamata nafasi Yake
Tukutane 2020
Sisi tuendelee kusajili watoto kwa ajili ya baadae kama kwamba sasa hatuna hajanayo.
Tuendelee kupigana
Kumbe ni utabiri tu?
Halafu utabiri wote naona umebase na position za last season kwa asilimia 90% kama sio 95%.
Nakuhakikishia Man United anaingia Top Four, Na nakihakikishia Chelsea haingii Top Four.
Mpaka hapo Hao BT Sport utabiri wao wameingia chaka.
Nimeyaandika haya kwa kuzingatia (Only Top 6):
1) Uwezo wa wachezaji binafsi kwenye timu.
2) uatayari wa wachezaji kujitoa kwa timu.
3) Uwezo wa kocha
Chelsea munajifanya kutoona athari ya kuondoka Hazard lakini time will tell.
Tuliona wazi Hazard alipowapa matokeo katika Mazingira magumu kwa jitihada zake binafsi either kwa kufunga au kutengeneza nafasi/Kuassist.
Lakini msimu huu ndiyo awavuushe aabraham? Jiroud? Au Barkley?
Mkuu hamuna timu acheni kujidanganya.
Huyo Luiz muliyemdharau pengo lake mutalililia na Zouma wenu.
We jamaa nawe umezidi kulalama asee,mara hivi mara vile kausha basi sisi tumeshinda yetu na city kashinda yake tatizo liko wapiGuardiola anajua nini anakitafuta
Tayari ameshakamata nafasi Yake
Tukutane 2020
Sisi tuendelee kusajili watoto kwa ajili ya baadae kama kwamba sasa hatuna hajanayo.
Tuendelee kupigana
hii haijkaa powa jamani...Allison ametubeba vya kutosha na hawa beki kwa sasa ni kama hawajaamsha....James pearce:
As things stand #LFC expecting to be without Alisson Becker for between 4 and 8 weeks depending on how quickly he heals. Club working on having Andy Lonergan on the bench for the Super Cup with Adrian starting.
Umeisha anza madudu yako mapema sana na baadae huwa unaona aibu!
Mjifunze kunyamaza isiwapate aibu kama ya June 1
Klopp anajua kuliko sisi hapa,tumpe nafasi afanye kazi yake
Wewe so ndo ulisema Luiz ni uchochoro?
dah hukumtendea haki kwa hii reply unless you are not serious!Kwani nimesema Klopp hajui? Hebu wacha kujishaua unapoona wanaume
Last season Salah alianza Ligi kama Mrisho Ngassa but this season he is on fire mwanzo wa Msimu.
This man gonna be top scorer again even the Salah's hater don't like him... Si Owen,Si Torres, Si Suarez aliyeweza kukifanya anachokifanya Salah.
Ni Liverpiool's Savior mpya since Aian Rash alipo retire kucheza footballe.
Mkuu kama uliangalia mechi ya man city jana,hatuna chetu.pia angalia timu man city iliyokutana nao wale sio norwich angalia hata sub zilizokuwa nje za man cty jana- ni ngumu sana kushindana na cityWe jamaa nawe umezidi kulalama asee,mara hivi mara vile kausha basi sisi tumeshinda yetu na city kashinda yake tatizo liko wapi
Sometime kuweka matumaini kwa kitu ambacho tulikuwa na uwezo wa kuki solve ni ujinga-wachezaji wakiwa uwanjani uwezekano wa kupata injury ni mkubwa tu.sasa klop anachezaje kamali kwa kudhania allison kuwa anaweza asipate injury.alikuwa na hela na muda wa kusajili kipa aliye bora ikitokea chochote.Kwasasa tuweke tu matumaini yetu kwa Adrian manake hakuna namna.
Defence line ijitahidi kumlinda