About MO SALAH

√ 72 in 106 appearances now for Salah, with 55 coming in 75 Premier League games alone 💪

√ He is in the top 30 of Liverpool's all-time leading scorers he is in the top 30 of Liverpool's all-time leading scorer 👊

√ It was Salah's 103rd goal involvement of his Anfield career

√ And it was the 12th time the forward had contributed a goal and an assist in a Premier League game since arriving at the club in the summer of 2017.

In the subsequent period, only Neymar with 13 has completed the feat more times in the top five European leagues 🙌🏻

√ He has now scored against 21 of 23 different top-flight opponents - only Swansea City and Manchester United have kept him out. So far. 👌🏻

This Man is Genius 💪 👊👌🏻 🙌🏻

 
IMG_6023.JPG
 
I dont wanna rate Liverpool players
Wanacheza kama team kwa pamoja
WOTE kwangu ni sawa na ndiyo maana bila Salah tulimfunga Barca
Bila mchango wa Mane tumemfunga Norwich
 
Guardiola anajua nini anakitafuta

Tayari ameshakamata nafasi Yake

Tukutane 2020

Sisi tuendelee kusajili watoto kwa ajili ya baadae kama kwamba sasa hatuna hajanayo.

Tuendelee kupigana
Umeisha anza madudu yako mapema sana na baadae huwa unaona aibu!
Mjifunze kunyamaza isiwapate aibu kama ya June 1
Klopp anajua kuliko sisi hapa,tumpe nafasi afanye kazi yake
 
Wewe so ndo ulisema Luiz ni uchochoro?
Kumbe ni utabiri tu?

Halafu utabiri wote naona umebase na position za last season kwa asilimia 90% kama sio 95%.

Nakuhakikishia Man United anaingia Top Four, Na nakihakikishia Chelsea haingii Top Four.

Mpaka hapo Hao BT Sport utabiri wao wameingia chaka.

Nimeyaandika haya kwa kuzingatia (Only Top 6):

1) Uwezo wa wachezaji binafsi kwenye timu.
2) uatayari wa wachezaji kujitoa kwa timu.
3) Uwezo wa kocha

Chelsea munajifanya kutoona athari ya kuondoka Hazard lakini time will tell.

Tuliona wazi Hazard alipowapa matokeo katika Mazingira magumu kwa jitihada zake binafsi either kwa kufunga au kutengeneza nafasi/Kuassist.

Lakini msimu huu ndiyo awavuushe aabraham? Jiroud? Au Barkley?

Mkuu hamuna timu acheni kujidanganya.

Huyo Luiz muliyemdharau pengo lake mutalililia na Zouma wenu.
 
James pearce:

As things stand #LFC expecting to be without Alisson Becker for between 4 and 8 weeks depending on how quickly he heals. Club working on having Andy Lonergan on the bench for the Super Cup with Adrian starting.
hii haijkaa powa jamani...Allison ametubeba vya kutosha na hawa beki kwa sasa ni kama hawajaamsha....

angalau sasa namwelewa Pep kumchukua kipa Scots ...
 
Last season Salah alianza Ligi kama Mrisho Ngassa but this season he is on fire mwanzo wa Msimu.

This man gonna be top scorer again even the Salah's hater don't like him... Si Owen,Si Torres, Si Suarez aliyeweza kukifanya anachokifanya Salah.

Ni Liverpiool's Savior mpya since Aian Rash alipo retire kucheza footballe.

Kane naona ndio amekuja kwa form ya juu sana
 
We jamaa nawe umezidi kulalama asee,mara hivi mara vile kausha basi sisi tumeshinda yetu na city kashinda yake tatizo liko wapi
Mkuu kama uliangalia mechi ya man city jana,hatuna chetu.pia angalia timu man city iliyokutana nao wale sio norwich angalia hata sub zilizokuwa nje za man cty jana- ni ngumu sana kushindana na city
 
Kwasasa tuweke tu matumaini yetu kwa Adrian manake hakuna namna.

Defence line ijitahidi kumlinda
Sometime kuweka matumaini kwa kitu ambacho tulikuwa na uwezo wa kuki solve ni ujinga-wachezaji wakiwa uwanjani uwezekano wa kupata injury ni mkubwa tu.sasa klop anachezaje kamali kwa kudhania allison kuwa anaweza asipate injury.alikuwa na hela na muda wa kusajili kipa aliye bora ikitokea chochote.
Mambo mengine tunajitakia tu mwisho wa siku tunajiona kama hatuna bahati kumbe sisi wenyewe tumejisababishia kukosa bahati.
 
123 Reactions
Reply
Back
Top Bottom