Penison
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 6,372
- 12,529
Mkuu angalia midfielder wetu wanavyocheza inaogopesha game kama hizi kama huna playmaker kwenye kiungo mtabakia kulaumiana tu Henderson sijui Wijnaldumhehehe Klopp ana siku kadhaaa za kusajili maana leo kama vileee hatupoooo....
