Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Origi what?


Hivi Malafyale yupo wapiNani hayaogopi majogoo
well said Aroon.Bado Arsenal tunahitaji chemistry hasa upande wa back line, uongoz unaondoa deadwoods , hivo malengo ya msimu huu ni top 4 , hivo bado inabidi tuwape nafas liver na man city ,walishapitia hizo transition period , ni ngumu kutoka hapo namba 1 na 2 , labda kuanzia msimu wa 2020/2021
hehehe Klopp ana siku kadhaaa za kusajili maana leo kama vileee hatupoooo....Zile cleansheat za msimu uliopita season hii tutazisikia kwenye bbomba tu
mimi sijamuona Gini kabisa leo
Mumeuza kipa au beki mkuu..!?Zile cleansheat za msimu uliopita season hii tutazisikia kwenye bbomba tu
Mara 1000 kumkosa salah kwenye mechi lakini sio mane.