Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,930
- 27,180
HeheheeKocha wako amesema hasajiri ,wewe endelea kuzunguka majukwaa mengine ukifanya umalaya

.. AseehHeheheeKocha wako amesema hasajiri ,wewe endelea kuzunguka majukwaa mengine ukifanya umalaya

.. AseehPSG tatizo ni makochaIngekua kusajili ndio kuchukua makombe PSG wangekua wanashindana peke yao
We jamaa fala thana ,eti unajifanya ni malafyaleSisi liverpool halisi tuendelee kushikamana zaidi, kusajili kitu gani bwana sisi sio man city, wale wananunua ubingwa wale sisi ngoja tusubiri bahati ya mtende ubingwa utuangukie. Shoneni suti nawaambia kwa kikosi hiki kipana ukiongeza na usajili makini wa hao madogo epl mwezi wa tatu tunanyanyua kwapa.
NANI HAYAOGOPI MAJOGOOO
NANI HAMWOGOPI ELLIOT
NANI HAMWOGOPI SEPP VDB
Hivi wewe ni Barcelona au Liverpool fan?Hata City walikuwa na maeneo yaliyohitaji kusajili na wamesajili
Sisi LFC maeneo ya kujazilizia kupitia usajili yalikuwa mengi tu, backup Fullbacks , Defensive Midfield, Central attacking Midfield, Backup Forwards
Ngoja tuone
Tumekuwa Wa pili kwenye league tumepata hela za kutosha,tumechukua uefa cup tumepata hela za kutosha- tumemuuza ings tumepata kama 22.5M.
BothHivi wewe ni Barcelona au Liverpool fan?
Katika vituko vya karne hii ni kutegemea kiungo wa miaka 34+ akuongezee ubora ubebe epl, milner? Iniesta kaondoka ligi isiyo na mabavu akiwa chini ya hiyo miaka lakini bado akiwa na uwezo mkubwa kumliko milner sisi bado tunamweka kama our most versatile player in the squad ama kweli kuna kitu vichwani mwetu havipo sawa. Tott anamwacha dembele after 6 month anaongezwa Ndombele 22yrs, man city fernandinho naye ni kama milner ila kaletewa rodri 22/23yrs hao mimi ndo naona ni wapinzani wetu msimu uliopita na ujao. Cha msingi tuunge mkono JUHUDI ZA LIVERPOOL HALISI Pengine 'mana' ya ubingwa itatuangukia huku jangwani tulipo.Tumekuwa Wa pili kwenye league tumepata hela za kutosha,tumechukua uefa cup tumepata hela za kutosha- tumemuuza ings tumepata kama 22.5M.
Sasa klop hizi hela zote anataka awachie matajiri Wa club ili iweje??? Badala ya kutumia kuimarisha team ili kuongeza pesa zaidi msimu huu.
Haya Mambo ya kutumia watoto kama back-up yalimshinda Wenger.Sasa hivi viungo Wa kuaminika pale ni moja tu fabinho,keita& lallana wote wazee Wa injuries Ox ni kama gomes watoka kuumia kuwategemea kukupa matunda kama mwanzo ni walakini.
Henderson ndio huyo hawezi kuwa perfect kila mechi kuna baadhi ya Siku na mechi ndio anakuwa anafanya vizuri-katika mechi 5 atafanya vizuri mechi 1,milner ndio Huyo uzee kukimbizana na watoto ataweza?? Kwanza kwa umri wake huwezi mtegemea kama mchezaji Wa kuanza
Tumekuwa Wa pili kwenye league tumepata hela za kutosha,tumechukua uefa cup tumepata hela za kutosha- tumemuuza ings tumepata kama 22.5M.
Sasa klop hizi hela zote anataka awachie matajiri Wa club ili iweje??? Badala ya kutumia kuimarisha team ili kuongeza pesa zaidi msimu huu.
Haya Mambo ya kutumia watoto kama back-up yalimshinda Wenger.Sasa hivi viungo Wa kuaminika pale ni moja tu fabinho,keita& lallana wote wazee Wa injuries Ox ni kama gomes watoka kuumia kuwategemea kukupa matunda kama mwanzo ni walakini.
Henderson ndio huyo hawezi kuwa perfect kila mechi kuna baadhi ya Siku na mechi ndio anakuwa anafanya vizuri-katika mechi 5 atafanya vizuri mechi 1,milner ndio Huyo uzee kukimbizana na watoto ataweza?? Kwanza kwa umri wake huwezi mtegemea kama mchezaji Wa kuanza
Unataka tusemejeKipigo cha napoli hamkisemei![]()
Hii ni pre seasonKipigo cha napoli hamkisemei![]()