Tuliwahi bishana humu mimi nikasema Karius ana uafadhali kuliko huyu Mignolet
Kuna addition moja tutaifanya kabla ya kuanza ligi naamini hivyo.First XI yetu ya msimu huu!
MANE - BOBBY - SALAH
GINI - FABY - HENDO
ROBBO - VVD - MATIP - TAA
ALISSON
Subs:
1) MIGNO (GK)
2) GOMEZ (CB)
3) MILNER (CM/AM))
4) OX (AM)
5) KEITA (AM)
6) ORIGI (CF)
7) BREWSTER (CF)
Subs za:
Winger?
RB?
LB?
Nakumbusha tu kuwa Subs ni 7 kwahiyo hao kina Xhaqiri, Jones, Yasser, Berg and co watasubiri Jukwaani unless kutokee injury kwa waliopo hapo juu.
Sasa hapo nathibitisha tu kuwa kikosi chetu cha last season ndiyo kilekile kitakachopambana season hii, Hakuna addition yoyote! Kwahiyo hatuna kikosi Kipana.
Kikosi hichi kinaweza kubeba EPL na CL iwapo tu tutaachana na FA na Carabao mapema sana badala Yake tukakomaa na EPL & CL tu ili kuepusha Wachezaji wetu kuchoka mapema na kupata majeruhi yasiyo ya lazima.
Nasisitiza hatuna kikosi kibaya bali kinahitaji management nzuri tu na sio ya kuja kutiliana Lallana na Lovren uwanjani halafu tukaambiwa ni soccer management.
Kikosi kipi kibebe epl na cl? Tuache masihara mkuu, tusichukulie ngekewa za msimu uliopita(97 pts) kuwa na msimu huu itakua hivyoFirst XI yetu ya msimu huu!
MANE - BOBBY - SALAH
GINI - FABY - HENDO
ROBBO - VVD - MATIP - TAA
ALISSON
Subs:
1) MIGNO (GK)
2) GOMEZ (CB)
3) MILNER (CM/AM))
4) OX (AM)
5) KEITA (AM)
6) ORIGI (CF)
7) BREWSTER (CF)
Subs za:
Winger?
RB?
LB?
Nakumbusha tu kuwa Subs ni 7 kwahiyo hao kina Xhaqiri, Jones, Yasser, Berg and co watasubiri Jukwaani unless kutokee injury kwa waliopo hapo juu.
Sasa hapo nathibitisha tu kuwa kikosi chetu cha last season ndiyo kilekile kitakachopambana season hii, Hakuna addition yoyote! Kwahiyo hatuna kikosi Kipana.
Kikosi hichi kinaweza kubeba EPL na CL iwapo tu tutaachana na FA na Carabao mapema sana badala Yake tukakomaa na EPL & CL tu ili kuepusha Wachezaji wetu kuchoka mapema na kupata majeruhi yasiyo ya lazima.
Nasisitiza hatuna kikosi kibaya bali kinahitaji management nzuri tu na sio ya kuja kutiliana Lallana na Lovren uwanjani halafu tukaambiwa ni soccer management.
Kikosi kipi kibebe epl na cl? Tuache masihara mkuu, tusichukulie ngekewa za msimu uliopita(97 pts) kuwa na msimu huu itakua hivyo
Ila tusiogope big signings jamani kwani tunaona timu zinafanya usajili mkubwa lkn bado mafanikio hawayapati wanayoyahitaji.....Cha msingi mwl kama akiwa na mbinu mbadala endapo wachezaji wanapata enjuries hakuna haja ya big signing msimu huu....though sisi kama mashabiki tunahitaji hiko kitu lkn mwl yu hajakiona....so lets believe in our Manager....Ametutoa mbali sisi kama Liverpool.
Nmekubaliana na hoja yako mkuuMkuu umeeleza vizuri lakini nadhani tuna utofautiana kiufahamu kidogo (simaanishi ninafahamu zaid kuliko wewe).
Tunapozungumzia addition hatukusudii kuwa tunataka big signing!!
Kumbuka kuwa Salah, Mane, OX, Robertson na Fabinho zote hizo hazikuwa big signing Bali ni addition zilizoweza kudeliver!
Big signing zetu zilikuwa ni VVV na Alisson tu.
Kwahiyo tulihitaji addition ya kawaida tu! Kwa mfano unaposajili watu kama Bruno Fernandez au Madison hapo sio big signings bali ni za kawaida tu.
Hata hivyo hakuna asiye na imani na Klopp, Kumkosoa kocha ni changamoto za kutaka mafanikio na si kukosa imani naye.
Kocha wako amesema hasajiri ,wewe endelea kuzunguka majukwaa mengine ukifanya umalayaKuna addition moja tutaifanya kabla ya kuanza ligi naamini hivyo.
Wewe tukana tu ukamilishe uumbaji wako,ndio kazi uliyoletewa humu Duniani.Kocha wako amesema hasajiri ,wewe endelea kuzunguka majukwaa mengine ukifanya umalaya
Oxlade Chamberlain karudi Majeruhi tena? King Ngwaba ?
do you agree with below Klopp's stance? discuss your answer with explicit illustrations....
View attachment 1163753View attachment 1163754View attachment 1163755