Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyu klop kama anafiriki hii ni ligi ya ujerumani bora abadilishe mawazo mapema,Mwaka Jana kwenye EPL inaonekana kama tumefanya vizuri sababu wapinzani wetu hawakuwa vizuri kihivyo- club bingwa ni bahati tu ilitukuna.
Imagine mane na salah wote wamepata injury kwa pamoja maana take sub zao ndio hizi zinazocheza leo-sasa tutafika kwa kikosi hiki???
 
Sasa hivi una wiki kama mbili za kuzurula kwenye majukwaa ya watu, zitumie vzr maana hutapata nafasi kuanzia tarehe 11
Hahahaha sasa bwana mdogo hii Arsenal uliyonayo wewe unailinganisha na Chelsea? Mimi na wewe nani wa kujipiga ban? Kocha wenu keshasema msitarajie lolote lile msimu huu.
 
IMG_5964.JPG
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom