Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

fc72d0db-0d87-4eda-9527-666ef153c24b.jpg

VVD na Wilj kapumzikeni sasa
Mmechoka sana
Likizo hii ni well deserved
 
kwa bei ya £70m parefu..bora kwenda tumchukue Maguire ni Epl proven pia

au wt £30m we get our boy back from Wolves Conor Coady..

De Ligit wakala wake anatega vilabu ili ampige mnada hivyo hii kwetu tutachemka...

Ila mkuu kwa sasa kutoa dau la pauni milioni 70 au 80 kwa hali ya sasa inabidi tu maana wachezaji wenye vipaji ndio bei zao hizo
 
Ila mkuu kwa sasa kutoa dau la pauni milioni 70 au 80 kwa hali ya sasa inabidi tu maana wachezaji wenye vipaji ndio bei zao hizo
ni kweli soko lilishavurugwo, ngoja tusubiri dirisha lifunguliwe tuone namna hawa tunaombiwa kila kukicha ni target zetu kama tutawapata ama ni gossip tu ukute klabu wanafuatilia wengine kabisa na si hawa Pepe, Deligit n.k
 
Kujitoa kumuwania huyu dogo mzuri hivyo sifurahishwi kabisa

Nafikiria haya yote yanawezekana:
1) Klopp hamuhitaji Bali ni Media Rumours tu
2) Klopp alimuhitaji lakini kajitoa kumnunua
3) Klopp anamuhitaji na hajajitoa kumnunua Bali ni Media tu ndiyo zinavumisha kujitoa
4) Klopp anamuhitaji na hajajitoa kumnunua Bali kutangaza hatomsajili ni Mind game tu kama ilivyokuwa kwa VVD

Hata hivyo iwapo kajitoa kwenye kumuhitaji ni kwamba! Kahisi hana shortage ya CDs kwa uwepo wa Madifenders 4 (VVD, Matip, Gomez na Lovren) licha ya ukweli ni kwamba:-
× Gomez na Matip ni Spana Mkononi (Prone injuries).
× Lovren ni accident waiting to happen (He is good for nothing).
√ VVD ndiye CB pekee wa kutumainia.

Kwahiyo upo umuhimu wa kusajili young and talented CB kama huyu De Ligt.
 
hard work pays..go go go Trent let th sky be th limit.

Dah huyu dogo nilipata Shida sana kutoka kwa baadhi ya Mashabiki wa EPL kipindi nampigania kuwa ni best RB in EPL.

Lakini hatimae ameniprove right.

Dogo kwa sifa anazomwagiwa kama Hatovimba kichwa basi atakuwa Bonge la Beki na mwisho after VVD era atakuwa shifted from RB to CB kama ilivyokuwa kwa Ramos.

Kama hatovimba Bichwa kuna kila dalili ya kuwa ndiye yeye atakaekuwa our future captain.
 
Now we are completely TETESI FC / RUMOURS FC
Acheni ushabiki maandazi. Hivi team ngapu zishafanya usajili kamili? Muda unaruhusu. Falsafa za Klopp mnazijua. Nyie kila tetesi mnaonaga ni kweli tu.

Jiulize.
Ulishawahi kumfikiria Robbo...klopp akamsajili
Salah? Akamsajili
Keita? Akamsajili
Wijnauldum....kamsajili
Ulifikiria atampandisha TAA

Nyie mkisikia Fekir/Pepe sijui nani mishipa ya shingo inasimama.
Kwa taarifa yenu Klopp hanunui beki wa kati hata mmoja. Yaani akiangalia ana Lovren, Matip, Gomez, VVD....kudadadeki nyie subirini tu. Huyo De Ligt haji Anfield.
 
Mkuu hujalowanisha CM yako kwel?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom