Mimi napitaga humu nacheka tu. Liverpool kwa Liverpool humu kuna upinzani. Kuna kikundi kinachojiita halisi na kingine sijui nini.
Humu kuna watu wanajifanya wanamiliki jukwaa, wao ndio top sayers, commentators, analysts, na kila kitu wanajua wao. Wanaongozwa na mihemko kuliko kutumia akili. Ukienda against nao...wanarusha maneno ya hasira na kuchukia.
Guys, kila shabiki ana maoni yake, uchambuzi wake....hatuwezi kuwa na falsafa moja.
Tuvumiliane.
Najuwa wewe si mwelewa wa kile unakiandika kwa Mikono yako!
Lakini hebu pitia post yako hapa chini uiangalie je ipo kiuwanamichezo? ↓↓
Acheni ushabiki maandazi. Hivi team ngapu zishafanya usajili kamili? Muda unaruhusu. Falsafa za Klopp mnazijua. Nyie kila tetesi mnaonaga ni kweli tu.
Jiulize.
Ulishawahi kumfikiria Robbo...klopp akamsajili
Salah? Akamsajili
Keita? Akamsajili
Wijnauldum....kamsajili
Ulifikiria atampandisha TAA
Nyie mkisikia Fekir/Pepe sijui nani mishipa ya shingo inasimama.
Kwa taarifa yenu Klopp hanunui beki wa kati hata mmoja. Yaani akiangalia ana Lovren, Matip, Gomez, VVD....kudadadeki nyie subirini tu. Huyo De Ligt haji Anfield.
Wewe wakati mwengine unakuja hapa unajifanya Mshabiki wa Liverpool (Unafiki), then unaandika post ambazo ni negative haziendani na Washabiki wa Liverpool.
Hapa hatupingani na mawazo ya Mtu bali tunapingana kwa hoja.
Hapa nadhani ni Jana tulikuwa tukiargue kuhusu usajili wa
Nicolas Pepe na tukaenda vizuri bila ya kujigamba "Mimi Halisi, Wewe Feki", " Mimi najuwa Mpira, Wewe Maandazi"....! Kwasababu tulikuwa tunajuwa kuwa kila Mtu ana Uhuru wa Kutoa Maoni ambayo hayadharauliwi Bali yanapingwa kwa Hoja.
Lakini Wewe unaanza na kauli za dharau kuita watu
Washabiki Maandazi halafu unaita Uhuru wa kupost kwenye Forum?????
Hivi ungelikuja na Facts kukosoa nilichokiandika nisingelifahamu??
Humu tumo watu Wastaarabu sana katika Kujadiliana kiasi ya Kwamba Mpaka kwenye Majukwaa ya Majirani tunaendesha mijadala ya Kistaarabu na kina
lembu ,
Lukub ,
Kyatile bila ya kuleteana kejeli.
Ni Mtu mmoja tu humu ndiye asiyetaka Mawazo ya Wengine na Akaamua kujibatiza jina ambalo analiita kuwa ni Kundi ingawa ni yeye peke Yake na sio Kundi.
Sasa na Wewe sijui ustaarabu wa kuanza kumjibu mtu kwa Kejeli umeutoa wapi!!!