Ngoja tuone kama kweli akija huku ukikumbuka hiyo ni ligue one kwa highlights nilizomuona sina hakika naye kwa lolote
hakika ni lazima yaheshimiwa ndugu..uzuri wa Hazard sio nyie mnaadhirika na kuodoka kwake ukweli ni kwamba hata ligi itapoa ushindani (zile dribble, assisit,goals) t was a joy kumuangalia Hazard...Apana mkuu ..mimi ni maoni yangu tu. Maoni lazima yaheshimiwe!
Sisi bila ya Hazard tunaweza zuia point sio chini ya kumi na mbili kwenye big six teams.
ni kweli kaka hata akina Drogba, Fabinho, Hazard, Bernado Silva wametokea huko Ligue one hivyo tuwe na imani huyu Pepe chini ya Klopp atakua fire...Ukiona Winga kwenye CV yake alifunga goli 15+ Serie A usimchukulie poa
ni kweli kaka hata akina Drogba, Fabinho, Hazard, Bernado Silva wametokea huko Ligue one hivyo tuwe na imani huyu Pepe chini ya Klopp atakua fire...
Hili la Salah tangu yupo Basel tulimchungulia tukaona anatufaa sema Rodgers haku react mapema...
Nina wasiwasi kati ya Salah au Mane kuna mmoja hawa Real au Barca watatusumbua wakimhitaji kama sio msimu huu basi dirisha mbili zijazo hivyo Klopp naamini pia ana plan for the future na huyu Pepe umri mdogo anatufaa...
lets get Maxi Gomez, Pepe, Fekir, De Ligit tutakua full nondo
Hapo kwa Wijnaldum wangemuweka Chamberlain
Deligt huyu haji so wanazi wa liver tukubali tu kuwa tutabaki na van dyk matip na gomez ( akiondoka lovren the atakuja beki mpya lakini sio deligt..klop wala hana mzuka nae) na si umeona mshahara aliahidiwa psg barca na man u...liver hawatoi mishahara mikubwa kizembe hivyo.Hivi Deligt tunamuwania kweli?
chief, nakubaliana na wewe 100% kuhusu Lallana.Mkuu unashau msimu ujao tunahitaji makombe yote aisee na kwa hilo hatutegemei Lallana ku msaada kwetu maana hio work rate yake unayosema ni gemu moja na hamalizi utasikia kaumia nje wiki tatu au kaumia mazoezini n.k tunahitaji wachezaji wa kazi kazi na wanaojua kujiangalia sana sio kila tackle lazima aifuate n.k...
kwa Lallana binfsi ningependa auzwe maana kiwango tunachohitaji msimu mpya sio level yake..
sasa unakua na Lallana pacha, Ox pancha, Keita pancha huyo Manciti tutamkamatia wapi...
pale kati tunahitaji real game changers aje mmoja tu Bruno au Contino arudi nk
hao watoto uliosema sio direct starters hata kwenye benchi wanahitaji waangaliwe pre season kwa kina..Woodburn huyu auzwe tu kwa kweli
Brewster angalau Klopp anasema ameridhiswa na kiwango chake tangu apone na anasema msimu ujao would be his season...
Shaqir unless apate project mpya tunae na ningependa abaki...ni mchezaji ambae game tym imekua kiduchu lakini akipata nafasi he give his all...we need his attitude n inputs uwanjani..
hao madogo uliowataja lwenye last para tukiwapata tutakuwa tupo vizuri.ni kweli kaka hata akina Drogba, Fabinho, Hazard, Bernado Silva wametokea huko Ligue one hivyo tuwe na imani huyu Pepe chini ya Klopp atakua fire...
Hili la Salah tangu yupo Basel tulimchungulia tukaona anatufaa sema Rodgers haku react mapema...
Nina wasiwasi kati ya Salah au Mane kuna mmoja hawa Real au Barca watatusumbua wakimhitaji kama sio msimu huu basi dirisha mbili zijazo hivyo Klopp naamini pia ana plan for the future na huyu Pepe umri mdogo anatufaa...
lets get Maxi Gomez, Pepe, Fekir, De Ligit tutakua full nondo
Kwa hio farmino anasugua bench hapo?! Hakuna io kitu
Ndugu yangu Liverpool kunakuaga na usiri mkubwa sana kwenye fununu za kweli...kwa mfano usajili wa FabinhoHivi Deligt tunamuwania kweli?
upo sahihi Shaqir ni reability kwa physical teams na sio ndogo wa ku cover ground kama Mane..ishu ya sasa ni squad depth ni muhimu sana kwenda na Citi jino kwa jino...Citi ukimtoa Bernado Silva anangia Mahrez, ukimtoa Sane anaingia Sterling..ukimtoa David Silva anaingia De Bruyne, ...n.k...hao wote ni proven starters hata kwenye timu zao za taifa...sasa hapa kwetu ipo tatizo kubwa na hiki kikosi maana ukitegemea umtoea Keita aingie Chambo/Lallana unakuta ni majeruhi, hapo ndipo anaongia Shaqir japo hata offer whts Keita or Chambo cn offer bt by his standards ni fighter...ndio maana nikasema kama Lallana atabaki aafi Shaqir auzwe basi itakua ni bad business..chief, nakubaliana na wewe 100% kuhusu Lallana.
ila pale kati tukipata "motor" inayofanana na Eriksen aisee tutakuwa tumekamilika. but nani yupo kwenye soko mwenye quality hii? Coutinho? not for me...one - there's something about him tulipokuwa tunapocheza vs physical sides which I used to dislike, and, two - there's likely to be split loyalty from the stands which could get into his nerves and affect his performance.
i think for a championship seeking team Shaqiri ni vunerable sana defensively - it probably explains why Klopp doesn't trust him that much. so OK...I'll keep him for squad depth but will quickly cash in on him ikiletwa mezani offer ya 20M plus..
mkuu hao wangetua ingkua bab kubwa..hao madogo uliowataja lwenye last para tukiwapata tutakuwa tupo vizuri.
chief, nakubaliana na wewe 100% kuhusu Lallana.
ila pale kati tukipata "motor" inayofanana na Eriksen aisee tutakuwa tumekamilika. but nani yupo kwenye soko mwenye quality hii? Coutinho? not for me...one - there's something about him tulipokuwa tunapocheza vs physical sides which I used to dislike, and, two - there's likely to be split loyalty from the stands which could get into his nerves and affect his performance.
i think for a championship seeking team Shaqiri ni vunerable sana defensively - it probably explains why Klopp doesn't trust him that much. so OK...I'll keep him for squad depth but will quickly cash in on him ikiletwa mezani offer ya 20M plus..
kwa bei ya £70m parefu..bora kwenda tumchukue Maguire ni Epl proven piaHivi Deligt tunamuwania kweli?
Aje ziyech dogo yupo vizuri sanaMkuu huyu ndogo Samuel wil cost a few usd compared na hao wengine bt he is value for money..i wish Klopp could make th move mapema tumalizane nae...
Samuel Chukwueze had admitted he's spoken to some of his team-mates at Villarreal about playing in England as the winger continues to be linked with a move to Liverpool.
The 20-year-old enjoyed an impressive breakthrough season in La Liga, scoring eight goals playing alongside the likes of former Arsenal star Santi Cazorla and ex- Everton defender Ramiro Funes Mori.
With his form earning him an international debut for Nigeria, as well as the reported attention of Liverpool , the winger has also been included in the Super Eagles' squad for this summer's Africa Cup of Nations in Egypt.
kwa wachezaji hawa watatu namely Samuel wa Virrareal..Ziyetch wa Ajax na Neres pia Ajax angalua tumpate mmoja n t would be a coup.