Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sijui kwanini tuko linked na this kid sipendi ku-judge kutokana na highlights ila Huyu dogo hana cha kutupa kwenye kikosi

Takwimu zina mbeba

Angalia hapo POINT YA KWANZA; ANA RATIO YA GOLI MBILI KWA ASSIST MOJA ( I.e goli 22 assists 11) which means sio mchongo

POINT YA PILI; winger anaefunga goli 22 kwa msimu ana kiwango cha juu
 
chini ya Klopp huyu atakua ni motooo....ungeniambia Salah atakuja kua mfungaji bora EPL wakati tunamtoa Roma binafsi ningembisha mpaka basi lakini sasa ona kwa msimu wa pili anachukua kiatu cha dhahabu...
 
Hata hivyo usijeshangaa dili lake likaishia tetesi tu mwisho wa Siku tukaambiwa 'Lallana is a New Signing'
 
Kloop hafanyi kazi kwa hizi tetesi. Huyu dogo wa france namuona yuko too slow...
Kama atakubali kuwa squad player basi aje....
Lallana ana work rate ambayo klop anaipenda so atabaki na nadhani pia washaongea na kocha so yuko ready for next season milner atakuwepo so as keita henderson georgino fabinho na Chambo pia. So hapo kati sioni mtu mpya akiingia.
But shakiri ni 50/50 pia akiondoka may be mtu anaweza kuja au wilson anaweza kuziba nafasi yake.
Kwa firminho klop ashasema yule dogo bwrester kuwa next season atakuwa anacheza pia (ni striker yule) mtu mpya hapa atakuja kutegemea mazungumzo na Origi yataishiaje ( kama akitaka minutes zaidi then tupate pesa nzuri kwake)
Ila kwa robertson sure mtu atakuja maana moreno kasepa
Hapo kati matip atabaki so tutakuwa na wa3 van dyk na gomez ambaye anamsaidia alex akiwa na milner ( maana next season milnet atakuwa zaid squad player so atakuwa anaziba mashimo wakati wa majeruhi ya alexandef na robeston au pale kati)
Kipa ningependa kama mignolet akisepa basi yule dogo kheller sijui asogezwe awe namba 2.
Winger Lallana na shaqiri kama watabaki au wilson na woodburn kama kocha atawaamua kuwapandisha....kama atashindwa basi awauze tu wale madogo wakashine sehemu nyingine.
 
Hapo kwa Lallana naona hapajakaa sawa.
Sioni Work rate yoyote zaidi ya kukomaa na 120K
 
Hata hivyo usijeshangaa dili lake likaishia tetesi tu mwisho wa Siku tukaambiwa 'Lallana is a New Signing'
hahaha nimeona Lallana anasema bado yupo sana Anfield haodoki eti ameambiwa next season uwepo wake kikosini unahitajika..kidogo imenistua aisee..

kuliko Lallana bora hata Kent au Wilson mmoja wao angerudishwa kikosini apate gametym..

Sitoshangaa kweli akibaki na kuanze mechi muhimu za ushindi kama vs Manu away
 
Hii hutokezea katika kufuatilia Target husika! Kocha anaweza kuwacha Target bora akafanya gambling

Mfano hakuna kocha aliyejuwa kuwa Sancho atakuwa talented vile ndiyomana tukamuacha Sancho tukachukuwa Solanke! Remember?
Solanke duh bora kaodoka zake akajaribu zali kwingine...

Sancho ni habari nyingine kwa sasa na bado kida kabisa atazid kua mzuri kwa bidii zaidi
 
Takwimu zina mbeba

Angalia hapo POINT YA KWANZA; ANA RATIO YA GOLI MBILI KWA ASSIST MOJA ( I.e goli 22 assists 11) which means sio mchongo

POINT YA PILI; winger anaefunga goli 22 kwa msimu ana kiwango cha juu

Ngoja tuone kama kweli akija huku ukikumbuka hiyo ni ligue one kwa highlights nilizomuona sina hakika naye kwa lolote
 
Kloop hafanyi kazi kwa hizi tetesi. Huyu dogo wa france namuona yuko too slow...
Kama atakubali kuwa squad player basi aje....
Lallana ana work rate ambayo klop anaipenda so atabaki na nadhani pia washaongea na kocha so yuko ready for next season milner atakuwepo so as keita henderson georgino fabinho na Chambo pia. So hapo kati sioni mtu mpya akiingia.
But shakiri ni 50/50 pia akiondoka may be mtu anaweza kuja au wilson anaweza kuziba nafasi yake.
Kwa firminho klop ashasema yule dogo bwrester kuwa next season atakuwa anacheza pia (ni striker yule) mtu mpya hapa atakuja kutegemea mazungumzo na Origi yataishiaje ( kama akitaka minutes zaidi then tupate pesa nzuri kwake)
Ila kwa robertson sure mtu atakuja maana moreno kasepa
Hapo kati matip atabaki so tutakuwa na wa3 van dyk na gomez ambaye anamsaidia alex akiwa na milner ( maana next season milnet atakuwa zaid squad player so atakuwa anaziba mashimo wakati wa majeruhi ya alexandef na robeston au pale kati)
Kipa ningependa kama mignolet akisepa basi yule dogo kheller sijui asogezwe awe namba 2.
Winger Lallana na shaqiri kama watabaki au wilson na woodburn kama kocha atawaamua kuwapandisha....kama atashindwa basi awauze tu wale madogo wakashine sehemu nyingine.
Mkuu unashau msimu ujao tunahitaji makombe yote aisee na kwa hilo hatutegemei Lallana ku msaada kwetu maana hio work rate yake unayosema ni gemu moja na hamalizi utasikia kaumia nje wiki tatu au kaumia mazoezini n.k tunahitaji wachezaji wa kazi kazi na wanaojua kujiangalia sana sio kila tackle lazima aifuate n.k...

kwa Lallana binfsi ningependa auzwe maana kiwango tunachohitaji msimu mpya sio level yake..

sasa unakua na Lallana pacha, Ox pancha, Keita pancha huyo Manciti tutamkamatia wapi...

pale kati tunahitaji real game changers aje mmoja tu Bruno au Contino arudi nk

hao watoto uliosema sio direct starters hata kwenye benchi wanahitaji waangaliwe pre season kwa kina..Woodburn huyu auzwe tu kwa kweli

Brewster angalau Klopp anasema ameridhiswa na kiwango chake tangu apone na anasema msimu ujao would be his season...

Shaqir unless apate project mpya tunae na ningependa abaki...ni mchezaji ambae game tym imekua kiduchu lakini akipata nafasi he give his all...we need his attitude n inputs uwanjani..
 
aisee ndugu yaaani unaanza kupiga ramli nani atakua liability hata ligi haijaanza kweli wewe ni nomaaa...

unatakiwa kua na hofu maaana Hazard amekua akiibeba Blues kwa kipindi kirefu sana, hapo sasa pengo lake kuliziba kazi mnayo na ndio bado usajili mmefungiwa huyo Coutino mtamsikia tu..
Apana mkuu ..mimi ni maoni yangu tu. Maoni lazima yaheshimiwe!

Sisi bila ya Hazard tunaweza zuia point sio chini ya kumi na mbili kwenye big six teams.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom