BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 5,911
- 11,729
Ngoja utamuona muda sio mrefu nimepishana nae huko anakuja mbio kavimba ile mbayaHapa ndo amefika mi na nongwa sana mkuu .
Teeh ...
Ngoja utamuona muda sio mrefu nimepishana nae huko anakuja mbio kavimba ile mbayaHapa ndo amefika mi na nongwa sana mkuu .
Teeh ...
Mimi shabiki wa Liverpool na nina mpenzi so?Wewe Jukwaa lako si ni la Mahusiano na Mapenzi?
Au umehama lini kwenye hilo jukwaa lako pendwa?
Mwambie awe maknNgoja utamuona muda sio mrefu nimepishana nae huko anakuja mbio kavimba ile mbaya
Dude usijifanye unanijua. Ioneshe forum post 2 tu za kuiponda LFC nilizowahi kuandika humu. Kunihusisha mimi na huyo mnayemwita PAIN KILLER huo ni uzwazwa. Ndio ni uzwazwa ukikasirika poa tu. Mimi nina ID yangu hii na inapost zake kadha wa kadha humu JF. Unafiki wangu ni nini?Najuwa wewe si mwelewa wa kile unakiandika kwa Mikono yako!
Lakini hebu pitia post yako hapa chini uiangalie je ipo kiuwanamichezo? ↓↓
Wewe wakati mwengine unakuja hapa unajifanya Mshabiki wa Liverpool (Unafiki), then unaandika post ambazo ni negative haziendani na Washabiki wa Liverpool.
Hapa hatupingani na mawazo ya Mtu bali tunapingana kwa hoja.
Hapa nadhani ni Jana tulikuwa tukiargue kuhusu usajili wa Nicolas Pepe na tukaenda vizuri bila ya kujigamba "Mimi Halisi, Wewe Feki", " Mimi najuwa Mpira, Wewe Maandazi"....! Kwasababu tulikuwa tunajuwa kuwa kila Mtu ana Uhuru wa Kutoa Maoni ambayo hayadharauliwi Bali yanapingwa kwa Hoja.
Lakini Wewe unaanza na kauli za dharau kuita watu Washabiki Maandazi halafu unaita Uhuru wa kupost kwenye Forum?????
Hivi ungelikuja na Facts kukosoa nilichokiandika nisingelifahamu??
Humu tumo watu Wastaarabu sana katika Kujadiliana kiasi ya Kwamba Mpaka kwenye Majukwaa ya Majirani tunaendesha mijadala ya Kistaarabu na kina lembu , Lukub , Kyatile bila ya kuleteana kejeli.
Ni Mtu mmoja tu humu ndiye asiyetaka Mawazo ya Wengine na Akaamua kujibatiza jina ambalo analiita kuwa ni Kundi ingawa ni yeye peke Yake na sio Kundi.
Sasa na Wewe sijui ustaarabu wa kuanza kumjibu mtu kwa Kejeli umeutoa wapi!!!
Mleten yangaanachoma mno huku akilipwa mshahara mnono, anamajigambo eti ndio beki bora duniani, ni mwepesi kupata majeraha..
Yanga watamuabudubasi auzwe
Yanga watamkataa huyu jamaa kwan ?!
basi simbaYanga watamuabudu
walete ofaMleten yanga
Manchester City and Manchester United are set to go head to head for Harry Maguire now that England's Nations League campaign is over, Sky Sports News understands.
I rate this boy highly than De Ligit...
same old same old...Any strong rumour?
aisee hua namuangalia sana huyu ndogo japo waingereza kwa hype ndio wenyewe kwa £60m is good business...Maguire ni average CB but anakuwa Hyped tu na English Media.
De Ligt ni very talented Young CB.