binafsi ningependa arudi maana Klopp anajua kumtumia vyema kuleta ushindi..Barca wanahitaji kuuza ili wamnunue De Ligit, Grizman na kumrudisha Neymar hivyo Coutno ni disposableHiyo Bado Ni Nyingi. Tumnunue Kwa Angalau £70m Atatusaidia Pale Katikati.
Kudadadadeki TROPHY nyingine hiyoQatar will host the next 2 club world cups, according to PA, late December. Al-Sadd, coached by Xavi, compete as host team. Monterrey (Concacaf), Esperance (CAF) & Hienghène Sport (Oceania), 2 more confirmed later. Liverpool go straight to semi final
Suala si kiruhusu timu gani iingie fainali ....suala ni kupambana na wazuri/wababe wenzako ili wababe wawili waingie fainali...kwa hiyo kucheza fainali ya CL sio hisani kama unavotaka kutuambia....liver na tot. Wamepambana kuingia fainali...suala ilikua mmoja achukue ndoo no matter wamechezaje...uchi...kwa mikono...bt mmoja ilikua awe bingwa.Mim nasema timu zote mbili jana zimecheza pumba tu,
Final mbaya ambayo haijawahi tokea toka dunia iundwe
Natumaini watu wazima kama mimi wemeshaliona hili,
Hawawezi ruhusu tena kuinguza final timu kama hizi ni aibu
kama unahisi ni genge acha kuwasikiliza kwa sababu unawasikiliza unawakubali, sign offKuna lile genge la majuha la Sports xtra ya Cloudefm wanasema VVD bado hajaprove uwezo wa kushinda Ballon D'or
Dah, keshantia kiu tayari, @Aspirin yeye na mi K tu daily K, mkuu K-vant sinywi tena
Hahahahahahahahah mkuu nilikuwa kwenye daladala ndio nikawasikiakama unahisi ni genge acha kuwasikiliza kwa sababu unawasikiliza unawakubali, sign off