Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool mmeteseka sanaa jangwan na ukame wa makombe sasa mmepata haka ka uefa kwa mbinde

Imekuwa kama mbwa mwenye njaa kali kaachiwa, mnaanza kutupanda kichwan hadi sisi kaka, zenu

Msimu ukianza tutaongea lugha moja
Huwezi ongea tena lugha moja na Liverpool sio saizi yako, Liverpool anaongea lugha moja ya kuelewana na real Madrid na ac Milan tu.hao ndio level yake!....🤴🤴🤴
 
Mnaolaumu fainal ilikuwa mbaya nashindwa kuwaelewa,klopp fainal zote huwa anafunguka ,anacheza mpira mzuri anafungwa, Sasa hiv kajifunza fainal ni kuvizia kama mou, na amepata kombe ,mnasema mpira mbaya,mlitaka afunguke afungwe tena ?
MKUU HABARI YAKO.
 
Hapana liver wasipouza wachezaji, ndan ya misimu miwili watabeba EPL, msimu huu waliingia kama kumchallange city, msimu ujao wataingia kama washindani Wa EPL, tambua wakibeba UCL, watakuwa na morari kubwa,.
Tayari Mkali! All Guns Will Fire On Both Fronts!
 
Any Trophy Is Worthy Grabbing Bhana. Huoni City Anapiga Kelele Na Vikombe Vyake Baada Ya Kuweka Full Squad Tofauti Na Sisi Tuliweka Nguvu European Champions League Na EPL!
Kila mmoja ana targets zake mkuu, hao target zao ni UEFA sisi target zetu ni EPL.

Ndiyo maana tunasema tukichukua itasaidia kupunguza machungu lakini siyo substitute ya EPL kwetu.
 
Today, the host location of the 2019 FIFA Club World Cup will be announced. The tournament will take place in December and will feature Liverpool + 6 other clubs
 
Any Trophy Is Worthy Grabbing Bhana. Huoni City Anapiga Kelele Na Vikombe Vyake Baada Ya Kuweka Full Squad Tofauti Na Sisi Tuliweka Nguvu European Champions League Na EPL!

Sure mkuu, kuna msemo kwamba binadamu haridhishwi na kile anachokipata kiurahisi.

Imagine ni makocha wangapi wanapata local cups lakini wanafukuzwa kwa kukosa UEFA? Ni wengi.

Pia sisi kupata UEFA bado tunamdai Klopp EPL, ingawa pressure siyo kubwa kwa sasa kama angekosa UEFA, ni kwamba imesaidia kusogeza mbele.
 
Today, the host location of the 2019 FIFA Club World Cup will be announced. The tournament will take place in December and will feature Liverpool + 6 other clubs
Other Sources Are Citing That There Won't Be Such Competitions Due To An Ongoing FIFA Changes And Negotiations Between Football Super Powers, Particularly European Countries, Till 2021... An Alternative To Confederation Cup!
 
Some reports spreading wrongly claiming Liverpool won’t be playing in a Club World Cup this year. They will be and will be in December (host to be confirmed).
The new bigger CWC starts in 2021 with 24 teams. But the existing 7-team format continues in 2019 and 2020
 
Hosts of 2019 & 2020 Club World Cup chosen today at FIFA Council meeting in Paris (agenda in pic). lfc contesting after winning uclfinal
IMG_20190603_121842.jpeg
 
Liverpool mmeteseka sanaa jangwan na ukame wa makombe sasa mmepata haka ka uefa kwa mbinde

Imekuwa kama mbwa mwenye njaa kali kaachiwa, mnaanza kutupanda kichwan hadi sisi kaka, zenu

Msimu ukianza tutaongea lugha moja
Kumbe MKUU kelele zote zile shida n huu ubingwa unakuuma tambua tu UEFA n kubwa lao wewe unavikombe vngap vya UEFA

Wivu tu unakusumbua utateseka sana mkuu timu tumeijenga sasa mda wa kuvuna umefika na tumeanza na kubwa lao.... Fikiria nn kinafuata baada ya hapo

#Hatutakimazoeanawatotowadogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom