Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kudadadadeki TROPHY nyingine hiyo
Aisee! We Are Hungry Of Trophies!
 
Kuna NATIONS LEAGUE KWA VAN DYK
KUNA AFCON KWA MO SALAH
NA KUNA COPA.AMERICA KWA MESSI
HAYA MASHINDANO YATAAMUA NANI ATABEBA BAL DOR

Sio kweli mkuu,mwaka 2010 hiyo tuzo ilienda kwa messi.

Huo mwaka kulikuwa na world cup,kwenye World Cup kule South Africa Argentina ilitolewa na messi hakufunga hata goli moja,lakini ndio alishinda hiyo tuzo.

Hizo tuzo wanapiga kura macaptain wa timu za taifa,makocha wa timu za taifa na watu wengine wataalamu wa mpira.

Kwa mfano hapa bongo samata atachagua yeye mchezaji aliyevutiwa naye kwa msimu huu,na kocha wetu amunike .

Sasa wanavyochagua wanavyoona wao kama ni washabiki wa Messi watamchagua messi kama washabiki wa Liverpool.

Watachagua watakavyojisikia hakuna wa kuwa uliza kwanini umemchagua vvd.

Kwa mtazamo wangu Vvd anastahili kuwa mchezaji bora wa dunia kwa sasa kwa huu mwaka .

Tatizo mnamchukua messi wa 2014 mnakujakulinganisha na vvd wa celtic sio wa Liverpool.

Sasa sisi tunamchukua Messi wa msimu wa 2018/2019 yule ambae alishindwa kutamba anfield na vvd aliyechukua uefa champions league Msimu wa 2018/2019.

Hapa ndio Maana tunashidwa kuelewana.
 
DECLARATION

Baada ya Liverpool Kubeba UCL natangaza Rasmi kuwa Namuhesabu Klopp kuwa ni World Class Manager.

Kwani ninampima Kocha kwa Makombe tu na si Mpira mzuri au kufika Fainali nyingi.

Kwahiyo Klopp ameprove kuwa ni World Class kwasababu amebeba cha kujivunia.

Sasa hivi kila timu wanataka wawe na klopp,
Maana anaweza kubadilisha mchezaji aliyeshuka daraja akawa world class player.

Sasa hivi watakosa sababu tena wataanza kumuheshimu.

Tunapoelekea huko jamaa atakuja kudominate ulaya yote,timu kubwa yoyote kwa sasa haipendi ikutane na Liverpool .kisa klopp anatisha na mbinu zake.
 
Mimi Ukiniuliza Kwa Nini Namzimikia Huyu Kocha Sijui Hata Maana Nakumbuka Nikinunua Shuka 2004 Limeandikwa BDB 09, (Borrusia Dortmund). Mpaka Leo Ndio Timu Yangu German. Nashangaa Jamaa Huyu Hapa Katua Anfield!

Ukiniuliza Kwa Nini Naipenda Na Kuishabikia Hii Timu, Sijui! 1995 Nikijuwa Na Jersey Ya Liverpool Ile Ya Kijani, Carlsberg! Ilikuwa Haina Namba! Duh. Yaani Huniambii Kitu Kuhusu Hii Timu. Hata Ikishuka Daraja, Nitashuka Nayo!

Bongo Ni Yeboyebo!
 
Tumeingiza £250M kwa haki za matangazo ya television kwa msimu huu",. Hakuna timu ya uingereza yoyote kuwahi kutoa hiki kitita kwa haki za matangazo ya tv kwa msimu. Mechi za LFC zimeoneshwa mechi 29 za epl mara nyingi zaidi ya timu yoyote.

Bajeti tosha ya signing wa this summer
helo helo helo Coutinho wherever you are you are walking alone now",..

Allez Allez Allez

YNWA YNWA YNWA..
 
Sasa hivi kila timu wanataka wawe na klopp,
Maana anaweza kubadilisha mchezaji aliyeshuka daraja akawa world class player.

Sasa hivi watakosa sababu tena wataanza kumuheshimu.

Tunapoelekea huko jamaa atakuja kudominate ulaya yote,timu kubwa yoyote kwa sasa haipendi ikutane na Liverpool .kisa klopp anatisha na mbinu zake.

Hahahahahahahahahahahahaha daahhh
 
Lile genge siku tulipo wakalisha barca 4 bila pale anfield,waliona aibu kujitetea walianza na habari ya Liverpool nusu nzima ya kipindi wanajitetea.
yaani hata utafiti wao sijui wanasomaga Bingwa,Dimba na Mwanaspoti sijawai kuwaelewa na ndio wanategemewa kweli kweli...ni wapiga ramli kama wengine.
 
Tumeingiza £250M kwa haki za matangazo ya television kwa msimu huu",. Hakuna timu ya uingereza yoyote kuwahi kutoa hiki kitita kwa haki za matangazo ya tv kwa msimu. Mechi za LFC zimeoneshwa mechi 29 za epl mara nyingi zaidi ya timu yoyote.

Bajeti tosha ya signing wa this summer
helo helo helo Coutinho wherever you are you are walking alone now",..

Allez Allez Allez

YNWA YNWA YNWA..
form is temporary class is permanent...we are heading back to the summit n this is sending shivers to those who know once we get th righg rythym we aint stopping til we get back our space as th best n most succesful club in Uk..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom