Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

hapa sasa naona mpaka Bruno Fernades anapedelea zaidi uchezaji wa Liverpool..
huyu hapa alichokisema

FERNANDES: I PREFER REDS

Rumoured Man Utd target Bruno Fernandes has said he likes Liverpool a lot more than Manchester City, while discussing clubs in the Premier League.

He told Portuguese publication Record: "I like Liverpool a lot more [than Man City]. It's a more direct [style of play], more offensive, maybe less organised, but more intense football.

"City, without the ball, has the intensity of the eleven, and can in a moment of pressure put the [opposing] team in a corner and end up stealing the ball.

"In Liverpool they are more individual players, especially in the midfield, usually playing three very aggressive players and recovering the ball."

sasa tusubiri ampate penetrating AM kama Fekir n his puzzle will be complete...

n th good thing jana wachezaji "wazee" ni wawili tu Henderson n Milner hivyo hii timu ya sasa ina nafasi ya kutawala kwa muda mrefu tu na tukiedelea kushinda makombe mengi ina maana wachezaji hawatakua na tamaa ya kuodoka kwenda kwingine..

YNWA
Tamaa yangu baada ya kukosa EPL niliiwaza UEFA kama back up ya kuwabakiza key players wetu maana atmosphere wanayoipata they gain something else. It was simple kucheza tu ila next season you will see my dearly kop",. Hizo punching za kuhitaji ushindi will be extra ordinary
 
HONGERENI SANA MASHABIKI WA LIVERPOOL, NA WAKOME! WANAOWABEZA KUWA HAMKUCHEZA VIZURI DHIDI YA TOTTENHAM, WALIKUWA WAPI LIVERPOOL ILIPOCHEZA DHIDI YA FC BEBWALONA PALE CATALONIA ALIPOFUNGWA 3-1

2018-2019 LIVERPOOL FC ARE THE WINNERS OF UEFA CHAMPIONS LEAGUE.
 
51585d6e-d1eb-43c4-ae9d-90b348ec3c91.jpg

Captain Hendo
The proud of Liverpool
Kanyanyua kwapa na mndoo mkubwa zaidi kwa ngazi za vilabu duniani
He’ s our Captain
 
Mnaolaumu fainal ilikuwa mbaya nashindwa kuwaelewa,klopp fainal zote huwa anafunguka ,anacheza mpira mzuri anafungwa, Sasa hiv kajifunza fainal ni kuvizia kama mou, na amepata kombe ,mnasema mpira mbaya,mlitaka afunguke afungwe tena ?
 
Mawatu manafki sana Chifu, mbona hao wanaofunguka hawakuchukua chochote wala hatukuwaona hata fainali sasa?
Mnaolaumu fainal ilikuwa mbaya nashindwa kuwaelewa,klopp fainal zote huwa anafunguka ,anacheza mpira mzuri anafungwa, Sasa hiv kajifunza fainal ni kuvizia kama mou, na amepata kombe ,mnasema mpira mbaya,mlitaka afunguke afungwe tena ?
 
Tamaa yangu baada ya kukosa EPL niliiwaza UEFA kama back up ya kuwabakiza key players wetu maana atmosphere wanayoipata they gain something else. It was simple kucheza tu ila next season you will see my dearly kop",. Hizo punching za kuhitaji ushindi will be extra ordinary
kabisa ushindi huu murwa kabisa unaleta mshikamano klabuni, yaani hii feel good atmosphere inatawala kuanzia Kops,players,owners, coaches n.k...

key players sasa kile kigezo cha wanahitaji klabu inayo challenge for top honours hakipo tena sababu msimu huu tumekwenda full throttle kupata kombe kubwa dume..tunanafasi ya kuongeza kombe la Supercup na Community Shield mwaka huu...

hii itasaidia kuvutia wachezaji muhimu tunaohitaji na pia kumbakisha wale muhimu wanaohitajika..

i salute scout department job well done..Allison na Fabinho were the extra wild card this season mix that wt Shaqir na utaona why they deserve credit..

tumekejeliwa mno, tumepondwa mno, Klopp tena ndio magundu kama yote, Hendo vile vile but mwisho wa msimu sasa wamebaki kujipiga za uso hawana kwa kushikia cz inawachoma mnoooo Uefa Champions League Winners ndio sisi.
 
NBA star LeBron James is a big fan of the Reds and, with the basketball season over for his Los Angeles Lakers, his focus turned to Liverpool.

And he was delighted with the win over Tottenham.

James tweeted: “YOU’LL NEVER WALK ALONE #WEARELIVERPOOL CONGRATULATIONS MEN AND ANYONE THAT HAS ANY AFFILIATION WITH THE CLUB!! @LFC”

His minority stakeholder bought 2% cost him $6.5 million zikaongezeka to &32 million na ikasemekana tulivyofika fainali mwaka jana alipata $100+ million then this year again sijui kabeba ngapi tena

Starting to love Lfc 2011 after getting his stake ana jicho flani la kibiashara
 
Pain . Unganisha vilabu vyote vys EPL jumlisha makombe yao ya UCL hawajamfikia Liverpool(6th). Jumlisha man u na wadogo zake wote.

Man Utd 3, Chelsea 1, Astonvila 1, Nottinham Forest 2 = 7.

Sina uhakika kama kuna niliyemsahau.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom