Hapana liver wasipouza wachezaji, ndan ya misimu miwili watabeba EPL, msimu huu waliingia kama kumchallange city, msimu ujao wataingia kama washindani Wa EPL, tambua wakibeba UCL, watakuwa na morari kubwa,.
Mkuu Aroon msimu ujao ligi itakua ngumu balaa endapo Citi akifungiwa UCL ndio kabisaaaa...

kikosi chetu bado kidogo bila shaka tunahitaji wachezaji kadhaa tuwe sawa..
 
Hata Tukichukua UEFA Champions League, Kwa Wengi Itaeza Onekana Msimu Huu Hatukuwa Successful... But As For Me, It's What PSG And Manchester City Have Been Chasing For Without Success! Let's Lift The Trophy And Quench Our Success Thirty

And To Mock Manchester City Next Season, We Lift EPL Trophy By Not Losing! Plus 100+ Points, Beyond That City Got!

What A Beautiful Sweet Dream!

Kila mmoja ana targets zake mkuu, hao target zao ni UEFA sisi target zetu ni EPL.

Ndiyo maana tunasema tukichukua itasaidia kupunguza machungu lakini siyo substitute ya EPL kwetu.
 
IMG_5260.JPG
 
Mkuu Aroon msimu ujao ligi itakua ngumu balaa endapo Citi akifungiwa UCL ndio kabisaaaa...

kikosi chetu bado kidogo bila shaka tunahitaji wachezaji kadhaa tuwe sawa..
Naona UEFA wamekomaa na city , sioni city akitoka hapa,

BREAKING: ManCity have been referred to the UEFA Club Financial Control Body adjudicatory chamber for potential breach of financial fair play rules.
 
Kama tukichukua UEFA then kuna Super cup na club world cup, what else we need kama klopp akichukua hizo zote? Klopp atakua amefanikiwa kwa msimu huu

Katika hali ya kawaida, UEFA tu ni mafanikio makubwa, shida ni moja tu, hata tukichukua UEFA mara nyingi bila EPL ni kama kuna kitu kinamiss sana, tunalalamika 29 years bila EPL. Tunalalamika Man Utd kuwa juu yetu kwenye EPL.

Hivyo pamoja na UEFA, bado EPL ni requirement.
 
Mkuu Aroon msimu ujao ligi itakua ngumu balaa endapo Citi akifungiwa UCL ndio kabisaaaa...

kikosi chetu bado kidogo bila shaka tunahitaji wachezaji kadhaa tuwe sawa..
His point is even if we add more good players(which is most likely...and important of course) we should keep our important players..The likes of Mane,Salah,Firmino,VVD,Allison,TAA,Keita,Robbertson,Fabinho,Wijnaldum...
 
Katika hali ya kawaida, UEFA tu ni mafanikio makubwa, shida ni moja tu, hata tukichukua UEFA mara nyingi bila EPL ni kama kuna kitu kinamiss sana, tunalalamika 29 years bila EPL. Tunalalamika Man Utd kuwa juu yetu kwenye EPL.

Hivyo pamoja na UEFA, bado EPL ni requirement.
Naona mnaenda kokosa vyote kwa pamoja
 
Back
Top Bottom