Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

kumbe bwana mashabiki wa liverpool wanajua KISWAHILI vizuri tu kumbe kingereza mnatoaga wapi mkishindaga utawasikia VVD-SALAH-MANE WORLD CLASS PLAYER daah ilibidi nakiona comment zenu tu naenda the gunners kupunga upepo

cityzen chairman am here
Ha ha haaaa,uefa imeenda kwa world class players!..bingwa lazima uwe na mbwembwe kidogo 🤣
 
Pole sana ndugu,kubali tu matokeo.
Final ya kijinga kabisa,

Hata waliicheza pia nadhani ni viazii tu,

Haina mvuto,

Kweli nimeamin uefa tuwaachie hispania, kwa final kama hizi za kipuuzi, bora wawewanaangalia club za kufika final

Pumbavu sanaa
 
Final ya kijinga kabisa,

Hata waliicheza pia nadhani ni viazii tu,

Haina mvuto,

Kweli nimeamin uefa tuwaachie hispania, kwa final kama hizi za kipuuzi, bora wawewanaangalia club za kufika final

Pumbavu sanaa
Fainali tulishacheza na Barca. Jana sherehe tu ya kukabidhiwa ndoo. Kama hutaki basi jinyonge ufe.
 

Bravo, bravo.

We promise you to go all length to capture your attention.

You might consider joining forces in a very near future.
 
Nimeona watu wengi wakisema mpira ulikuwa mbovu yaani Liverpool hajacheza mpira mkubwa lakini ukiangalia kwa kipindi cha kwanza Liverpool alikuwa ametengeneza chance kumzidi Tottenham hata Allison Becker alikuwa na zero save compared to Hugo Lloris kwa kipindi tu cha kwanza. Liverpool walikuwa wameacha Tottenham wacheze mpira halafu wao washambulie kwa kuvizia it work for 85℅. Klopp alifanya homework yake vizuri alijua Tottenham wanaversatile players kama Eriksen, Dele,Son,Moura kwahyo ilekupanda mbele na gegenpressing yetu Jana tungehukumiwa mapema tu, refer mechi yetu na Tottenham anfield pale counter attack ambayo ilimkuta Son na Sissoko versus VVD . Kwahyo ilibidi tubadili kidogo aina ya uchezaji wetu tuzuie na kutengeneza chance huku tukiacha kujiexpose. Ikumbukwe ile ni final kwahyo pale kinacho-matter ni magoli na ndio Morinho alikuwa anawashinda watu kwa style hiyo na klop wetu anafeli. All in all Allison Becker alikuwa na outstanding performance saves zake zimetupa kombe hapo ndio kelele za wanaliver walikuwa wanasema kipa tulikuwa hatuna zile saves zote Karius ingekuwa chuma hata 2 zingeingia. Huu ni mwanzo tu yajayo yanafurahisha,You'll Never Walk Alone.
 
Mid mbona tunao mkuu Fabinho na keita labda ukiniambia tuongeze hata mmoja
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…