Man, when it comes to posting beautiful pics of our beloved team, your contribution is invaluable.
It is a pleasure to be on the same page with a person of your caliber.
Vipi bado unaota?ANGALIZO: Spurs hana chakupoteza katika mechi ya leo,wakati huohuo Liverpool wameenda namatokeo yao vichwani mwao,mwaka huu historia inaonyesha kuwa msimu huu ktk mashindano haya timu zote zilizokuwa zimeenda na matokeo kichwani hakuna hata moja iliyofanikiwa,mfano:
1.Psg vs Man U
2.Mancity vs Spurs
3.Bayern vs Liverpool
4.Ajax vs Spurs
5.Liverpol vs Barcelona
6.Chelsea vs Arsenal
Kuna kila dalili za mtu mzima kuaibika leo mwenye akili ataelewa namaanisha nini.