Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,852
huwa nashangaa sana handerson anaingiaTumeshinda UEFA lkn henderson hapaswi kubaki LFC
Hafu unamtoa shaqiri
Yaan handerson ni mjinga sana huyu jamaa
Liverpool forever
huwa nashangaa sana handerson anaingiaTumeshinda UEFA lkn henderson hapaswi kubaki LFC
Hahahahahahahahah Eti Ajax sasa ndio angefanya niniBora ingepita Ajax tu.... Hawa spurs wameipa Liver ujiko wa bure tu. Shitty final kama Europa.
Ndomna Ukawa Kimyaa... PoleeeKwa Masikitiko Makubwa Baada ya Kusafiri kutoka Mkoani kuja Dar usiku kwa Basi na kulala Njiani (Gairo Morogoro) nimejikuta nikiikosa kuiangalia hii Fainali
Ningeshangaa sana kama Liverpool wangekosa ubingwa leo
numbisa nina furaha hapa kupitilizaCongrats Liverpool
Kabisa kabisa maalim ni dhamb hata kwa munguhuwa nashangaa sana handerson anaingia
Hafu unamtoa shaqiri
Yaan handerson ni mjinga sana huyu jamaa
Liverpool forever
Exciting football ilikuwa ya livepool na barca,by the way siku hazifanani kila game na mipango yakeCongrats but not exciting football
Kauli ipi mkuu niliopost kuhusu hii gameMushabadilisha kauli?
It was boaring game nimejikuta nimelala na hivi ndo naangalia mwenyewe shida tupu!!! HahahahaHuu ushindi wenu.
Kwakuwa nasinzia acha niseme, hongereni sana.
Gif pleaseCongrats Liverpool
.We don care the past,. Today is today we need it than ever",.
We are liverpool we are family..
Alez alez alez
Ynwa Ynwa ynwa
Celebration closer to fortress ANFIELD Shangwe tutashangweka",..