Smh!Umeandika kweli kweli, vipi kuna nyingine uliyoandika baada ya coming back ya jana?
Mzee wa LiverShenzy kabisa yule dogo. Namzawadia binti yangu amuoe bila mahari
Hahaaa.. Labda ArsenalPia inawezekana timu za england zikafanyiwa comeback europa
Naam mamaMzee wa Liver
Pochettino katoa machozi. Fainali watu wanabadilika. Approach ya EPL na UCL naamini ni tofauti hasa mtu anapoona kombe kutokea kwenye tunnels inaweza kumzubaisha akapiteza concentration au ikampa moto zaidi.
Finally timu zilizo tafuta kombe kwa muda mrefu kuna moja inaenda kucheka kuna nyingine inaenda kuongeza kilio. Sijui ngoja tusubiri.
Hahaaa.. Labda Arsenal
hahahaha labda ashawahi kushinda njaaTulipoingia Final na Real Madrid watu Waliipa Nafasi ya ushindi Real Madrid kwa kigezo kuwa 'KLOP HAJAZOEA KUSHINDA MAKOMBE/FINALI'...
Sasa tumeingia Final na Pochetino Je Mutaipa Nafasi Liverpool kwa Kigezo cha Kuwa Pochetino hajazoea kushinda Makombe?
Sasa tutaona hapa kuwa uchambuzi wenu unabase kwenye Facts au huwa unabase kwenye mapenzi! Coz Poch hajawahi kushinda chochote.
We'll see pure double standard
Chanzo cha hizo kauli huwa ni kutokana na mara nyingi Klopp anakua na kikosi kizuri anaupiga mpira mwingi lakini matokeo yanakua mabaya na ndio maana wanasema hana bahati na makombe.Tulipoingia Final na Real Madrid watu Waliipa Nafasi ya ushindi Real Madrid kwa kigezo kuwa 'KLOP HAJAZOEA KUSHINDA MAKOMBE/FINALI'...
Sasa tumeingia Final na Pochetino Je Mutaipa Nafasi Liverpool kwa Kigezo cha Kuwa Pochetino hajazoea kushinda Makombe?
Sasa tutaona hapa kuwa uchambuzi wenu unabase kwenye Facts au huwa unabase kwenye mapenzi! Coz Poch hajawahi kushinda chochote.
We'll see pure double standard
May be kwa sababu Emery keshachukua akiwa Sevilla. But I believe time is the best answer.Arsenal ameshapita Hawezi kutolewa na Valencia
Unai ananyakuwa Trophy nyengine kiulaini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!ningependa nikutane Spurs final kuliko mtoto mtukutu Ajax...
Siyo Bernabeu, ni Wanda Metropolitano.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!
Haya sasa! Wasema Mungu sio Athumani..
Amejibu maombi yako mkuu...
Kazi mnayo pale bernabeu [emoji23][emoji2]
May be kwa sababu Emery keshachukua akiwa Sevilla. But I believe time is the best answer.
Mkuu Spurs Hamna Kitu pale bado hajakutana na real test kwani kawa hyped baada ya kujipigia Real aliyejichokea.
Ni sawa na Timu Kumfunga Juventus au PSG ukampa promo wakati kwasasa ni timu zisizo na formula.
Spurs hana uwezo wa kutufunga kwenye EPL tuliyo na gundu, aje atufunge kwenye CL iliyo ndani ya damu yetu?
Huenda Sarri akafata Nyayo za Klopp za kutokuwa na Bahati ya Kubeba Kombe
Fainali iliyopita Liverpool hakuwa na kipa mzuri,beki zilikuwa bado hazijaelewana kwa kiasi kikubwa, mtu kama fabinho ambae ameimarisha kiungo hakuwepo.Kwangu sikuwa na hofu kabisa kuhusu Ajax
Spurs ni adui anayetujua nje ndani, tulivyocheza naye Anfield ni vile tu muda mwingine mpira ni bahati tukashinda
Both managers hawajashinda uefa
Both players hawajashinda uefa (not sure 100%)
Last season we end up second runner
Wote tuna angry & spirit ndo maana nina hofu
I bet 50/50
Fainali iliyopita Liverpool hakuwa na kipa mzuri,beki zilikuwa bado hazijaelewana kwa kiasi kikubwa, mtu kama fabinho ambae ameimarisha kiungo hakuwepo.
Hii ni Liverpool iliyoboreka zaidi kuliko ya msimu uliopita, spirit na team work ndivyo vilivyoifikisha hapa,kukosekana kwa salah na firmino hakujaathiri mechi dhidi ya barcelona.
Hata kwenye EPL wameweza kuvunja record yao ya points nyingi ndani ya msimu,ttz ni moja,wakati Liverpool imeboreka Man city nayo ni bora na ndio maana wameachana kwa alama moja hadi sasa.
Asante kwa kunirekèbisha.Siyo Bernabeu, ni Wanda Metropolitano.