OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,315
Muindi sijui mwarabu kavuna za kwenu nyingi sana mkuuu....ila sisi hatuwazi sana ...furaha tuliyonayo inatosha kabisa (in Malafyale voice)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila kusema ukweli leo nilibet Barcelona anashinda. Ten niliweka 2&3+.. Nikaweka 20 yangu hapo na nilitegemea nivune kana 70K+ ila nimejitusi kwa kutoamini team yangu.
Nisamehemi wakubwa zangu. Nimeamini sana ule msemo kuwa "it is not over until it is over" upo. Na maishani mwangu sitakaa kukata tamaa hata siku moja. Najua ipo siku tu..
Babe cute b it's not over until it's over. I remember last week. You gave me the banter i deserved, it hurt me to a point that we had to quarrel, but today i am a winner and you are going to be a Liverpool supporter. Man United is a waste of energy.
Ili kaburi la aroon wakuu ..lifukuliwee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]liverpool kwenda kuwafunga Barcelona pale Anfield nne bila ni ndoto za mei mosi wafanyakazi kuongezewa mishahara
LIVERPOOL HONGERENI SAAANA...!!!
Ndipo nimeamka hapa nina furaha sana maana nilikuwa nimelala kwa kukosa matumaini baada ya Salah na Firminho kuumia kabla ya mechi ya leo.
Den cleruziooooooooooo......Gooooo.... At UEFA CHAMPIONS BIG FINAL[emoji16]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Labda comeblack
Jamani anayekataa kuwa Mungu hayupo si akili zake bali ni laana ndizo zinamsumbua.
Big up sana Liverpool kwa kudhihirisha duniani Mungu ni wa wote.
Ilikuwa semi final?Waingereza ni shida, this ain't the greatest comeback.
I still rate the PSGs 4 - 0 to Barca overturned to 6 - 1 when it comes to number of goals.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]na Tz sasa itatulia, kesho (leo) mtaani kutakuwa na amani na heshima.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nyumbani kwa barca mlienda mnajiamini et historia inawabeba mmekufa 3-0
Second match mkiwa nyumbani historia inasemaje?
[/QUOTE]bora wakae kimya messi huwa hapend madharau
MAN, CAN YOU BELIEVE IT???I'm crying
Kumfunga Liverpool ni kazi rahisi kama kumbaka mwanamke mlevi
Mshenzi uyo acha aoneshwe ushenz pumbavu kbsa
Watakomaaa wiki nzima ntatembea na jezi alf leo no kulalaMkuu walitutukana sana tulivyofungwa na barca mechi ya kwanza,leo hii kakimbia .tumewakalisha 4 bila pale anfield,impossible is nothing.in klopp we trust
Leo kama hampigwi 4, basi itakuwa 5 au 6. Leo ndio mtajua kwa nini Messi anaitwa Jini. Nyie kuku msimu huu hamchukui hata kikombe cha kahawa, tukutane Camp Nou...