Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

hivi unaanzaje kufunga nne alafu wao wamesimama tu?
kibaya zaidi anfield liver atakuwa anafukuza mchezo, watalazimika kusonga sana mbele na magepu ya nyuma ndio zile kaunta walizokosa kina dembele sasa sidhani oama messi na suarez watakuacha.

Mkuu tumewafunga 4 bila huku wakiwa wamesimama .

Mkuu klopp kwenye mbinu yuko vizuri sana.barca katolewa huko na mess wao.liverpool na wachezaji wao mnaowaita wakawaida.

Mpira uwanjani pale sio maneno maneno.sasa hiyo aibu sijui unaificha wapi?
 
Malafyale popote ulipo ..ewe Liverpool KHALISI una imani kubwa sanaaa
Kaka nakuambia kila siku Liverpool tulipata sana bahati kumpata Klopp!
Hapa duniani kwa sasa nambadiri Klopp na PEP tu
Hata Man City kama kumuondoa Pep basi wapate Klopp
Tunachukua EPL Jumapili,hawa Man City kumfunga BHA ni ngumu kaka
 
[emoji23][emoji23][emoji23]nimeangalia mkuu kuanzia dk ya 50 hv mana mvua ilikua inanyesha huku nikachelewa kuwasili eneo husika. Kua amani, liverpool ni timu na siyo kigenge[emoji23][emoji23]
We ni MUFC fan lkn utakuwa umefurahi sana kiaina rohoni, maana hivi karibuni timu Za UK huwa Zadharaurika sana na Za Spain ktk UEFA Champions league[emoji28]
 
IPO juu yetu kwa kipi labda,tumekutana Leo statistcs zinaonyesha tumewazidi karibu kila kitu.insu hapa no klopp ndio kazingua

Never give up mkuu,game ya kwanza ilikuwa inatoa picha kamili barca uwezo mdogo .watu walikuja na statistics za magoli ambayo leo azijawasaidia
 
Msamehe bure tu maana hajui alitendalo Chifu[emoji847]
Mkuu tumewafunga 4 bila huku wakiwa wamesimama .

Mkuu klopp kwenye mbinu yuko vizuri sana.barca katolewa huko na mess wao.liverpool na wachezaji wao mnaowaita wakawaida.

Mpira uwanjani pale sio maneno maneno.sasa hiyo aibu sijui unaificha wapi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…