Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Surprise alizokutana nazo Man City kwa game za Chelsea, C Palace na Leicester hakuna aliyetegemea aisee, in a span of almost 3 weeks kapoteza 9 points.

Sijui recovery yake itakavyokuwa, lakini ni big hit kwake.
Ndio maana mimi nasisitiza kuwa hatutakiwi kuwa reluctant au carried away.

City by the start of December alikua anaongoza league kwa 2 points and 15 GD..

Leo hii within four game weeks yupo nafasi ya tatu tumeshamwacha 7 points with zero GD.

Things can change in a dramatic way, lets keep focused.

One game at a time.

YNWA.
 
Ndiyo maana tunataka tarehe tumpige pale Etihad ili tumtoe kabisa kwenye title race.
 
Yani Liverpool hii ifungwe na manure fc?
Watu Kama ninyi timu ikipigwa game mbili tu mnapoteza imani na kocha na bench zima la ufundi kwa kuamini kuwa huwezi kufungwa.

Trust me, game na Man United haitakuwa nyepesi Kwako Kama unavyofikiria kisa tu umeifunga Kwako. Lolote linaweza toka. Has yako kaongea kisport na sio kiramli.
 
Ndiyo maana tunataka tarehe tumpige pale Etihad ili tumtoe kabisa kwenye title race.

Game ambayo iko easily attainable ni ya Arsenal, City ni wagumu sana, tuanze kwanza kudili na Arsenal. Tukishinda hiyo game itakuwa na maana kwamba City tunakutana nao kukiwa na 7+ point differential, ambapo hata tukidroo tutakuwa bado tuko kwenye position nzuri vs Man City. Changamoto itayobaki ni Tottenham.
 
Yeah cha muhimu ni kushinda kwanza hii ya nyumbani vs Arsenal. Tukienda Ettihad Pep hawezi ku seat back kama alivyofanya alipokuja Anfield lazima atafunguka and hopefully hapo ndio atakuwa amefanya mistake tumpige hata tatu.
 
Exactly, point hapo ni kwamba ni yeye atakayekuwa na pressure ya matokeo zaidi yetu sisi, na inaweza kupelekea makosa ambayo yatakuwa na faida kwetu.

One game at a time.
 
Game ambayo iko easily attainable ni ya Arsenal, City ni wagumu sana, tuanze kwanza kudili na Arsenal. Tukishinda hiyo game itakuwa na maana kwamba City tunakutana nao kukiwa na 7+ point differential, ambapo hata tukidroo tutakuwa bado tuko kwenye position nzuri vs Man City. Changamoto itayobaki ni Tottenham.

Spurs sio Changamoto Mkuu! Changamoto Kubwa ni Man United lakini watu Wanalipuuza hili.

Man United ata wawe wabovu vipi huwezi ukawachukulia powa tunapokutana kwani Kuwafunga Marahii kusitufanye tukaona kama tumewafunga Mara 10 mfululizo.

Since nilipoanza kuifahamu Liverpool basi hakuna Mechi Nyepesi ya Liverpool vs Man United.

So, tujipange kupambana na si kusema hana uwezo Wa kutufunga kama wengine wanavyozani.
 
Nasema ivyo kwa sababu hakuna mpinzani wa maana anayeweza kuwapa changamoto except Tot naye hana ubavu. Sasa hapo kazi ni kwenu mkishindwa hamtakuja kuweza tena. Man city mnaona anachofanya, Chelsea ndio tunajikongoja, huyo Arsenal sitaki kuongea. Labda Tot ila naye sina imani naye.
bwana wee utamu wa ligi hii ndio hii matokeo usiyotarajia muda wowote yanatokea...

hata sisi hatupo salama kabisa esp hii Jan ndio maana Klopp hataki kua carried na ushindi na wengine kupoteza hivyo ndio Klopp anasema "we take one game at a time" ...

ToT ni kweli upepo wa ushindi wanao kwa sasa...

Nyinyi bila Straika wa uhakika mtazidi kupotea ndugu maana Morata, Girud sio tegemezi kwenye hizi mbio...

Tunashukuru kwa maombi yako tutajitahidi kutokuangusha.
 
huyu kocha wao mpya bana kaja kivingine kabisa nwei ngoja tuone leo watatoka vipi huku Pep akiwa busy kuchukua notes...
Naona kijana wetu Ings akiwaua Manshit maana ukuta wao kwa sasa sio mabeki wala Kipa mwenye utulivu...

Yani ukuta Mzima Wa Man City ni Laporte peke Yake ndiye Mwenye Uhai..

Lakini Otamendi, Jones na Walker ni uchochoro Wa kujipigia tu..

Sasa hapa tuwapatize kabla hajarudi Mendy na Fernandinho...

Na vile vile ni kwamba Bado KDB hajawa sawa Kutoka kwenye injury... Kwahiyo tuwapatize pia kabla KDB, Aguero na Silva hawajakaa sawa.

Coz si kwamba Guardiola kaishiwa mbinu! Bali Guardiola atabaki kuwa ni Best Coach in the World bali ni Majeruhi tu yamemuandama Kwa Wachezaji Wake.
 
sure sure
well said kitu kingine Guardiola hua anapata tabu kubounce back to the winning ways. Mara nyingi strongest yake huzidi kua kwenye long winning ways...!! ni kocha amezoea ushindi hii humpa paniki akiwa kesho ishu ka hizi.

Tumuwah tu kabla gari halijashika kasi.
 
Kocha makini
tapatalk_1536171830280.jpeg
 
Tuna Challenge 3 tu zakuweza kuzifikiria kuhusu kutufunga Kwa sasa.

1) Man City (Etihad)
2) Man United (OT)
3) Everton (Godison)

Sasa hapo tukitoa sare tu na Man City basi test ya Everton nayo itashindwa kutufunga!
Hapo tutajiandaa Kwa Man United kwasababu ni NW Derby tuimalize hapo Kwa sare.
Mkuu kinachochekesha ligi ya uingereza. Unaweza ukashinda game zote hizo au ukatoa draw moja wapo ila kuna siku unaweza shangaa Crystal Palace anakuja Anfield anakufunga au hata Carfiff akaja kutoa draw kwako. Ndio hapohapo ukaanza kupznguzwa kasi. Hiyo ndio EPL
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom