OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
Umemjibu vizuri sana. Leo James Maddison na Kelechi Iheanacho wamemuangusha.Umepanic braza Relax..[emoji28][emoji28][emoji28] Nakukumbusha ww ulianza kwa Totts ukaja kwa Man utd then kwa Bunley leo ulikua Leicester.. huu wako tunaitaje ukiachana na lile jina la UKAHABA
Wewe timu yako ni kama kikundi cha wauza mbege wa Yombo kilakala unaongea niniumesahau Barcelona hapo
Daaah unazingua mzee babaaaa[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Umepanic braza Relax..[emoji28][emoji28][emoji28] Nakukumbusha ww ulianza kwa Totts ukaja kwa Man utd then kwa Bunley leo ulikua Leicester.. huu wako tunaitaje ukiachana na lile jina la UKAHABA
Hahahahaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kinachonishangaza sasa hivi mashabiki wa Arsenal, Manchester United wamekuwa kama Malaya wa Sinza kila mwanaume wanamtaka wao sasa hivi kila timu wanashabikia kama Mazezeta vile.
Maji yakizidi unga tutakunywa uji tu kwani shida iko wapiMalafyale kiongozi wetu wa liverpool KHALISI wewe ulituahidi tutabeba EUFA na EPL na mpaka sasa hatuna matumaini ya kubeba chohote apo. Tena ulitupa uhakika wa kwamba Klopp huwa akosei yeye anajua sokker mgt zaid yetu; tulivyotoa zile draw mfululizo wale Liverpool FEKI walimjia Klopp juu wakitamani ata kumla nyama[emoji12][emoji12]lakini wewe Liverpool KHALISI ulikuwa upande wa klopp muda wote ...sasa mkuu maji yanaelekea kuzidi unga na ulichotuahidi hakina uwakika wa kutimia tena. Sisi followers wako tutaficha wapi sura zetu maana tulitamba mtaani kuwa tutapita na EPL na UEFA....
JE? Prezidaa tutapata chohote msimu ili tuendele kukuamini?[emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29]
Liverpool HALISI tuwe watulivu TUKOMalafyale kiongozi wetu wa liverpool KHALISI wewe ulituahidi tutabeba EUFA na EPL na mpaka sasa hatuna matumaini ya kubeba chohote apo. Tena ulitupa uhakika wa kwamba Klopp huwa akosei yeye anajua sokker mgt zaid yetu; tulivyotoa zile draw mfululizo wale Liverpool FEKI walimjia Klopp juu wakitamani ata kumla nyama[emoji12][emoji12]lakini wewe Liverpool KHALISI ulikuwa upande wa klopp muda wote ...sasa mkuu maji yanaelekea kuzidi unga na ulichotuahidi hakina uwakika wa kutimia tena. Sisi followers wako tutaficha wapi sura zetu maana tulitamba mtaani kuwa tutapita na EPL na UEFA....
JE? Prezidaa tutapata chohote msimu ili tuendele kukuamini?[emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29]
wewe umesahau Klop alisema wazi majeruhi ya UTD yalifanya liverpool itoke kwenye game plans, wachezaji wa Liverpool walishikwa na bumbuwazi kuona UTD wachezaji wake wanaumia hovyohovyoIlee draw mliyotoka na man u itawagharimu sanaa, mlikuwa mnacheka tu wakati nafasi mlikuwa nazo za kushinda
Ile game majeruhi walikuwa wengi sana kiasi kwamba game lilikuwa lenu, lakin klopp alipuuzia, nadhani mpaka sasa anajuta
Ona sasa mnaweweseka,
Hawana adabu kabisa kwa liver hawa. Yaani wanaenda anfield utadhani wanaenda disco kung'oa madem!
Hafu hiyo juice anayokunywa ni ya ukwaju,nadhani mnaelewa moja ya kazi kubwa ya juice ya ukwaju mwilini.
Mbona umepanik kiongozi,Kinachonishangaza sasa hivi mashabiki wa Arsenal, Manchester United wamekuwa kama Malaya wa Sinza kila mwanaume wanamtaka wao sasa hivi kila timu wanashabikia kama Mazezeta vile.
HaaaaaaaaaaHaijawahi kutokea timu ina points over 92 na isibebe ubingwa, Aiseeh hili gundu lenu mlilokua nalo halisafishiki hata kwa Jiki..
wakati messi hakucheza mechi ya laliga wikiend iliyopita ili kujiandaa na mechi ya liverpool....wao liverpool wanawapumsha salah na filmino kwa kutocheza mechi ya kesho ili kujiandaa na mechi ya wolvers dahhhhhh hii dunia mbona kama inavibrate maana huku sio kuzunguka
Hahahahacome May the whole of Anfiled we b full bright moon guys celebratin th 19th Epl trophy...
n who knows perhaps Ucl n FA cup pia...
Ninasema kombe kombe mtalisikia tu kwa wenzenu, maana hakuna namna. 30 years counting.... Lazima mwaka huu ufe kwa presha wewe, tehetehetehe.....Usiniletee uchambuzi wako maandazi upeleke hukohuko mtaa wa 6
Liverpool HALISI tuwe watulivu TUKO
VIZURI ,tuachane na FEKI wanaotukana wachezaji wetu, hata mungu wao PEP ametolewa uefa kwa aibu, kwani nani adondoshi point City hii tayari IMEJICHOKEA inashinda goli moja moja,itapoteza kwa Brighton, MAMBO MAZURI YANAKUJA, tujiandae KUSHONA SUTI.Mwisho wa kunukuu nimemkumbuka mpambanaji Malafyale