Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Usiwe na shobo sasa,subiri mpira dk 90 mnakuja na maneno ya Khanga ulishaona tunaongelea team yako hapa
Mbona haukuongea kabla ya match. Shabiki gani muoga hivi.
Ubingwa hamchukui endeleeni kujifariji. Mataji yote mtayanusa tu.
 
Mliona jinsi VVD alivyomwambia Trent aache ile free-kick na kumuamuru Shaqiri apige ile free-kick??

what more do you need, kuelewa kuwa this dude is a real Captain, a real leader.
seems Shaqir Melwood do delivers those kind of dead balls oftenly....n th good thing TAA obliged without hesitation..

Man Origi twice this season ametuokoa wen everything else seem stuck...

Shaqir th Master what a million dollar freekick..

two subs with a mission, superb.
 
Mbona haukuongea kabla ya match. Shabiki gani muoga hivi.
Ubingwa hamchukui endeleeni kujifariji. Mataji yote mtayanusa tu.
Sikuongea kabla ya mechi kwa sababu naheshimu kila team nayokutana nayo,na najua mpira ulivyo City alilala sport direct Arena,lazima ucheze kwa juhudi ili ufikie mafanikio
 
Kaka unaongea kwamafumbo unafikiri sisi hatuelewi unachomaanisha,unakauli za madaktari ambao wanakuwa wanamfaliji mgonjwa wa Cancer iliyofika hatua ya mwisho kwa kumwambia kuwa atapona tu wakati wanajua wazi kuwa hazipiti siku mbili atakuwa amekufa.mwaka huu majogoo mnatoka empty bila hata kikombe cha Bata.
Pole sana!..
 
Aroon usishangae niliwai kutana na ndogo mmoja wa form 5 mwaka 2005 alikua shabiki nguli wa Newcastle anaijua vyema timu yake mpaka nilibaki mdomo wazi,

hivyo na hao wa manciti pia wapo tangu Mansour awekeze pale...
Newcastle najua wapo, hata rais mstaafu Jakaya kikwete ni mshabiki kindakindaki wa Newcastle , ila man city napata ukakasi,.
 
Newcastle najua wapo, hata rais mstaafu Jakaya kikwete ni mshabiki kindakindaki wa Newcastle , ila man city napata ukakasi,.
ahaa kweli bana Jakaya ni magpies for life....

hawa wa Manciti wapo wengi tu kwa sasa lakini asilimia kubwa ni kuanzia 2012 kuedelea kabla ya hapo sijui wengi walikua wanashabikia timu zipi...
 
ahaa kweli bana Jakaya ni magpies for life....

hawa wa Manciti wapo wengi tu kwa sasa lakini asilimia kubwa ni kuanzia 2012 kuedelea kabla ya hapo sijui wengi walikua wanashabikia timu zipi...
Inasekana wengi ni reject kutoka arsenal na man u
Pia ni wale wafuasi wanaomfata pep kila aendapo,

Cha ajabu hawa waliotoka man u na arsenal bado wanazifatilia timu zao za awali,maana huwez kuhama timu automatically
 
Nioneshe tusi nami nitakuonesha shabiki wa Arsenyeto
Wewe mshabiki WA cheltako mbona unaenda sana kutukana mashabik WA arsenal? Huyo jamaa ni fan WA Liverpool,lkn akili yako IPO kutukana mashabik WA arsenal muda wote
 
Pole sana!..
Ahsante,lakini ebu tuache masihara tuongee ukweli kwa mechi mbili zilizo baki unategemea Liverpool anaweza akapoteza?jibu ni kwamba haiwezekani,je kwamtazamo wako unadhani Mancity yuko tayari kupoteza michezo yake iliyobaki?jibu ni hapana,je Liverpool anaweza akamzuia kabisa Barcelona asipate goli hata moja kwenye mechi ya marudiano?jibu ni hapana,ndiyo maana mimi nasema majogoo wa Anfield mwaka huu mnatoka empty bila kombe lolote,mjipange kwa msimu mwingine.
 
IMG_5180.JPG
 
Inasekana wengi ni reject kutoka arsenal na man u
Pia ni wale wafuasi wanaomfata pep kila aendapo,

Cha ajabu hawa waliotoka man u na arsenal bado wanazifatilia timu zao za awali,maana huwez kuhama timu automatically
hahahaha rejects...lol haya ndugu nimekusoma..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom