SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,028
- 5,355
60' Sasaduu dk ya ngapi mdau?
60' Sasaduu dk ya ngapi mdau?
60' Sasa
Kilichomuondoa Liverpool ni nini?Benitez hawezi kuwabania ni Liverpool damu atawapatia goli moja la ziada na brace kwa Salah
Arud wa 8 kabsaSalah OUT miezi mitatu
Arud wa 8 kabsa
Kilichomuondoa Liverpool ni nini?
Kufundisha timu siyo kuwa na ushabiki bali ni kazi tu
2:3 Liverpool anashindaWewe beny hawezi bania Liverpool ataachia moja
Liver mwisho wake leo.2:3 Liverpool anashinda
Kwahy sasa tyr mmelingana point...gol deferensi mnaijua...brighton hawez kumzuia city the last mechi...kwanza kuivuka diferensi ya ushind wa city jumatatu vs foxes hamuez hata mpewe nani...mjipang kama united tuu