kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,714
- 6,490
ha ha ha ha ha ha ha ha hadi chakula kimepita kwenye njia ya hewa brotherMpira haujashuka thamani kiasi hicho
ha ha ha ha ha ha ha ha hadi chakula kimepita kwenye njia ya hewa brotherMpira haujashuka thamani kiasi hicho
nilipokuja kugundua mpira kitu nuksi - mashabiki wa liverpool walisema watachukua epl na uefa -hivi unajua now wanasemaje ??
wanasema hivi"
zimebaki mechi mbili epl anything can happen daah noma wakati walisema before wao mabingwa
hivi barca tukimpiga tatu bila matokeo ya extra time yanatakiwa yaweje ili tufuzu?
exra time ikiwa droo ya magoli tunaenda matuta?Tukimpiga 3-0 tuaenda extra time muda ukiisha matuta.
Wapumzishen wenzenu aiseeJambo la kuwapongeza wanaliverpool ni kwamba msimu huu mtamaliza na vikombe vya chai.
Hivi city hawa mashabiki imewatoa wapi hapa bongo?Tangia nizaliwe sijawahi kuona mshabiki wa Mancity pengine we ndio utakuwa wa kwanza.
Wewe jumatatu mzee wangu Brendan anaenda kukuuwa, alafu jumanne naenda kumtafuna Barca na Messi wake.
Sio 90 TENA?Jumanne pale Anfield dunia itasimama dkk 120.
Majogoo wataingia finally!
Liverpool ameshaaga mashindano,mchumba keshatolewa mahari kilicho baki ni kuolewa tu.Jumanne pale Anfield dunia itasimama dkk 120.
Majogoo wataingia finally!
Tatizo ni nini na Kiingereza? Kama huwezi kusoma post achana nayoAs usual, Liverpool Halisi huy with hid analysis in English Language.

Kwa nini wengi wanaoizodoa Liverpool humu ni mabinti!? Maana naona lugha ya mabinti wa Buguruni kwa Mnyamani,Tandika,Tandale na Mbagala. Yaelekea kuna marijali wengi ambao ni washabiki wakubwa wa Liverpool kiasi kwamba inapelekea wake/michepuko/nyumba ndogo zao kutoipenda Liverpool.
betting zinaharibu vijana walionza fuatilia mpira baada ya world cup 2010Tabia mbovu za Waamerika ya Kusini wakichezea Barca au R.Madrid wala sikushangaa but he will the pride at AnfieldOnly thing kilichonipa so many questions yesterday si kufungwa na Barcelona wala kufungwa na Suarez!!
But the way Suarez celebrated his goal against us haikuwa Fair hata kidogo! Once he played for us halafu ameshindwa kuonesha his class kwa Club iliyomfanya akawa pale.
Even Ryan Babel with all humiliation that he suffered under Rafa Benitez at Liverpool he didn't celebrate when he scored against us this season (at EPL). Lakini Suarez tuliyemjengea heshima amefanya kitu kile.
Before yesterday Kati ya mchezaji aliyehama Liverpool na nikawa namkubali sana ni Suarez, But after yesterday's incident namuona ni sawa na Coutinho au Mascherano !
He is no longer our beloved ex-player ..
Eti kuna mashabik kindakindaki kabisa WA man city hapa tz![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
betting zinaharibu vijana walionza fuatilia mpira baada ya world cup 2010
Ambaye hata ukimuuliza Dunne alikuwa nani hapo hajuiEti kuna mashabik kindakindaki kabisa WA man city hapa tz
Acheni kuota mchana nyie mbayuwayuu hahaaahivi barca tukimpiga tatu bila matokeo ya extra time yanatakiwa yaweje ili tufuzu?