kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,648
Ndyo mlichobakiza kukisemaCity game ya kesho anatoa draw.. Liver njia nyeupe kuchukua ubigwa![]()
Ndyo mlichobakiza kukisemaCity game ya kesho anatoa draw.. Liver njia nyeupe kuchukua ubigwa![]()
Nimeikopi mahala
Kama Manchester city watashinda ubingwa wa ligi kuu ya England klabu ya Leicester City watapata paundi milioni 5 kwaajili ya bonasi ya mauzo ya mchezaji Rihard Mahrez.
Manchester city itacheza na Leicester City Jumatatu kama Leicester City itashinda au kutoka sare itahatarisha mbio za ubingwa za Manchester city na hivyo kupelekea kutopata bonasi hiyo ya paundi milioni 5 kwani mkataba unasema Manchester City watalipa kiasi hicho ikiwa wataendelea kuwa na Mahrez na kushinda ubingwa.
Dah! Firmino, bad news indeed
hahaha Lovren was outrun, out of position vs Newcasto sasa zidi ya Barca watamgeuza kama chapatiGood decision Making is the root of every success!
Here is where Klopp failed
Expect to see Lovren and Gomez starting against Barca CD and RB respectively while TAA and Matip enjoying to warm the Bench
Leo ndio siku pekee(kwangu),ambayo ikitokea man city kashinda ntakuwa rasmi nimekubali mbio za ushabiki wa ubingwa zitakuwa zimenishinda...
NAIOMBEA MEMA LEICESTER,
NAMUOMBEA MEMA BR NA WACHEZAJI WAKE.
Mimi hata wakishinda leo matumaini yataendelea kuwepo mpaka Dakika 90 za May 12.Leo ndio siku pekee(kwangu),ambayo ikitokea man city kashinda ntakuwa rasmi nimekubali mbio za ushabiki wa ubingwa zitakuwa zimenishinda...
NAIOMBEA MEMA LEICESTER,
NAMUOMBEA MEMA BR NA WACHEZAJI WAKE.
Wewe uliyewahi kuamini hongera...Mm bado mpaka nafsi yangu itaporidhika (vs Leicester)na si vinginevyo!!!Kumbe bado hujaamini kuwa Man City bingwa?
Endelea kuamini unachokiamini
Lolote linaweza tokea kwenye mpira nakubariana na ewew,ngoja tuone.Mimi hata wakishinda leo matumaini yataendelea kuwepo mpaka Dakika 90 za May 12.
Odds za Liverpool zimepanda ghafla...I want to see that freak vs barcelona that yu will do. Reprisal vs barca is impossible...mnakamilisha ratiba tu na uhalali wa barca kwenda final coz ni lazm tu mrudiane ila kama siyo hvyo, no need ya kurudianaView attachment 1089566
Mkuu usife moyoKumbe bado hujaamini kuwa Man City bingwa?
Endelea kuamini unachokiamini