ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,499
- 3,635
Alikuwa anapambana kwaajili ya team anayoipenda zaidi sioni tatizo maana ndiyo style yakeAlso Kuna misbehaviour nyingi tu alionyesha uwanjani dhidi ya team yetu, kutaka kumhadaa refa ba baadhi ya faulu, quarrels na wachezaji wetu nk.