You are so detailed man, thanks.
Kuna summary nimepost before this, looks like you were in my head man.
Clinical finishing yetu iko way below the standards (Considering Barca as The Standard).
I can see Pep getting to 60% of that but not us with the quality of our squad, as it looks like Klopp is so contended with it.
Jana tulivyocheza kila nikiangalia nini tungefanya kwa kikosi chetu sioni kabisa cha kufanya.
Klopp kama atakuwa amejifunza kitu atakuwa ameona jinsi kikosi chetu kiko weak, he can decide to strengthen it or keep hugging them next season tumalize kama msimu huu.
I agree kuwa our our clinical finishing ipo chini sana, but ukiangalia kwa jicho la tatu ni kuwa creativity kwenye final third ni ndogo sana man.
we dont have a typical number 10, who can open up attacking spaces kwa fowards, and master those final through passes.
we have Keita/Ox/Shaqiri who can create from the MF, but they are not typical number 10's, ambao wanaweza ku-sit just behind the attacking line.
we need a number 10 (aina ya Fekir/Havertz/Maddison/Bruno etc) ambao wanaweza kucheza as 10 au false number 8s/9s, watatusaidia sana katika creativity.
we lack goals from MF, we lack the last push from the midfield, Mane/Salah/Firmino mara nyingi huwa wanatengeneza nafasi wenyewe, hasa tunapokuwa tunacheza na negative MF, and we all know kuwa players tulionao pale mbele ni good goal scorers but huwa wanahitaji a lot of chances ili kufunga, so kukosekana kwa creativity kunafanya chances zote ndogo pia, we rely so much kwa our FBs kutengeneza nafasi, and this should stop.
tunaweza kupata a good number 9 upfront, but hiyo itamaanisha Frimino arudi as 10, and recently Klopp tried to drop him there, and talks za chini chini kuhusu kuondoka from hiz agent zikaanza, hii ni kwasababu Bobby kwasasa anajiona kama complete 9, and ukweli ni kwamba Klopp wont ever drop him coz ni mchezaji ambaye ana umuhimu mkubwa sana katika every set up ya Klopp.
so we need to add a wide attacker (Werner/Pepe/Brandt etc), a 10 who can play as 9 or 8 (Fekir/Havertz/Maddison/Bruno etc), and tutakuwa tumesolve tatizo kubwa sana la creativity and goals.
i just dont know kinachoendelea kati ya Klopp and Shaqiri, but ukweli ni kwamba he's the only backup ambayo ina uwezo wa kuleta mabadiliko from the bench.