Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Haya niwatakie usiku mwemaTufunge tu mkuu KING LEO
Ollachuga Oc unapenda sana misiba kama hii,
Pumbaff thana
Haya niwatakie usiku mwemaTufunge tu mkuu KING LEO
Hawakukaa 7bu ya kupenda maana siyo philosophy ya Barca kabisa, sema tu walizidiwa kila kituBarca kukaa nyuma refa inamuhusu nini?
Liverpool sio type ya barc liver ni ya kucheza na Burnley tu
Ko Salah kaucheza mpira then kaupeleka ap?Umri ndiyo unamfanya hivyo, kiukweli Barca hii haijafikia hata robo Barca ya Messi, Iniesta na Xavi, Salah kacheza mpira sana leo kuliko hata huyo Messi
Timu imecheza vizuri sana tuliwazidi barca kila kitu,mbinu ya kumueka gini kule pembeni imefanya kazi.klopp alikuwa na mbinu nzuri kabisa .
Washambulia wamenzingua wanakosa magoli ya wazi halafu wanakuwa na wasiwasi kwenye kufunga,tunashindwa kufunga hata nafasi za wazi.
Na pia Kuumia kwa keita pia kumechangia,Henderson alivyoingia akaalibi awezi kudrible yeye anatoa passi tu .
kipindi cha pili mwanzoni barca wakawa wanautafuta mpira kwa torch .barca walikamatwa kila engo.
Timu imecheza vizuri sana,nafasi za kufunga tunakosa,me sikuwa na pressure ya kushambuliwa kila wakati maana muda mwingi Liverpool ndio anamiliki mpira.
Kikubwa kwenye kuscore tu forward zetu zimeonekana kupoteza umakini .
Barca wakawaida sana hawana mpira wowote wa kutisha. In klopp we trust.
Hawakukaa 7bu ya kupenda maana siyo philosophy ya Barca kabisa, sema tu walizidiwa kila kitu
Magori je?Hawakukaa 7bu ya kupenda maana siyo philosophy ya Barca kabisa, sema tu walizidiwa kila kitu
Ko Salah kaucheza mpira then kaupeleka ap?
Mpira magoli.
Magori je?
Na ww ulitegemea kupigwa 3 na kumuona Allison kama Karius?Hiyo siyo philosophy ya Barca, Barca huwa ni ball position kwanza, hv hata ww ulitegemea kuzidiwa ball position Nou Camp kabisa?
Utakuwa hauko sirias kijana
Kitu gan walizidiwa?
Mkuu hakuna kocha au mchezaj asiyependa kombe tukubal tu kocha wetu naye anawalakini hiv nikuulize n miaka mingap imepita toka tupate kikombe hata hicho unachokiita kidogo! klopp ajitafakar kama hela ya usajir amepewa tunataka matunda ya pesa aliyopewa s vngnevyo
Hahahaha uko serious au unafanya comedy?Ko Salah kaucheza mpira then kaupeleka ap?
Mpira magoli.
Mpira upi?Screenshot statistics kipindi cha pili afu uambatanishe hapa ndipo utaelewa ni kipi walichozidiwa
Mi ni Chelsea fan kaka, uwe realistic kaka, kuna jamaa yangu kanipigia simu kaongea ukweli kabisa kuhusu Liverpool ilivyokuwa inastahili ushindi lkn kadai Klopp hana bahati kabisa na makombe.Na ww ulitegemea kupigwa 3 na kumuona Allison kama Karius?
Mpira upi?
Uwage unaona aibu kuongea ujinga mbele za werevu ety bahati unajua bahat ni nn?Mi ni Chelsea fan kaka, uwe realistic kaka, kuna jamaa yangu kanipigia simu kaongea ukweli kabisa kuhusu Liverpool ilivyokuwa inastahili ushindi lkn kadai Klopp hana bahati kabisa na makombe.
Kwenye ukweli tuwe wakweli ili tuwe huru.
Leo goal yao kubwa ilkua n pts 3 na ndo wamefankiwa.....Hiyo siyo philosophy ya Barca, Barca huwa ni ball position kwanza, hv hata ww ulitegemea kuzidiwa ball position Nou Camp kabisa?
Utakuwa hauko sirias kijana