Mtyela Kasanda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2018
- 554
- 819
lini mmeanza kuiita united Nyumbu? Mbona hatuendani na nyumbu?Unaongea kishujaa wakati unajijua kabisa una timu tiamajitiamaji,
Huyo lei mm na record naye nzuri tu, labda itokee tu, lkn siwez kufungwa 3times tena, hata man u sio mbovu kama unavyojiaminisha ila anazidiwa uwezo tu,
Kama huamini weka mzigo hapa kesho nyumbu anakupa kipondo,
