Kila kocha ana his unique style of play dude.
Pep, is considered one of the best, siyo tu kwasababu ya trophies, but ni kocha wa kisasa aliyefanikiwa ku-master vizuri approach ya possessional football. na ndiyo maana mpaka sasa ambapo 80% of managers kwenye top flights wameachana nayo, but Pep bado anaitumia na anafanikiwa, especially kwenye leagues.
he won EPL last season kwa points 100 kwa kutumia huu mfumo, and he's about to do it again this season (GOD FORBID) kwa mfumo huo huo, kwenye most competitive league on planet earth.
it takes a highly intellegent and technical skilled coach to master possession footie, tena kwenye modern era ambayo una fast paced oriented world class coaches kama Klopp/Poch/Luis Enrique/Tuchel/Nagelsmann/Zidane etc
Sean Dyche ni kama Allaydice/Pulis etc, ni worshippers wa diagonal footie/zoning acceleration, mpira ambao unahitaji physical and powerful players kwenye MF and flanks (pace and dribbling is not necessary at all because players are instructed to defend and attack behind deeper zoning lines), kitu ambacho ni tofauti na kina Sane/Sterling/Mahrez/B.Silva/KDB/Gundogan/Ferna/Silva/Aguero etc,
its so easy to coach these City players, possession footie kwasababu ya ubora wao wa kukaa na mipira/dribbling/Distribution/Short passes/Opening rooms and spaces/line breaking passes etc,
kama Sean Dyche akienda City, atahitajika kuchange the whole squad ili ku-implement his style (maybe Kompanya/Walker wanaweza kubaki), but he wont need ball playing CBs/MFs etc kutokana na uhitaji wa style yake. and he will fail at City kwasababu in modern footie huwez kufanikiwa kwa kutumia zoning set ups, only limited coaches wanatumia hizi set ups, Club yeyote ambayo inahitaji makombe haiwezi kuwa na Coaches wa namna hii.
Fulham spent loads walivyopanda but now wameshuka after just One season, because coach wao alitaka kucheza possession footie huku akiwa hana wachezaji complete for that set up, Hughton is facing relegation battle kwasababu for whatever reasons msimu huu he switched up to possession footie and he's paying the price, same can be said to Wagner.
Coaches wa mid-table clubs ambao wanaweza fanikiwa kwa kiasi wakienda City, ni Nuno/Howe, i said Howe kwasababu ni kocha mzuri sana wa possession, leo hii hata ukiwaambia Pep/Klopp wachague kocha msaidizi wa kufundisha possession wataaza na Howe.
sean Dyche ni very limited Coach, leo hii FIFA wakisema kusiwe na set up za tactical zoning kwenye football, he'll be out of job.
and, ninavyosema kuwa Dyche anaweza kumfunga/ku-draw na Pep ni kwasababu he's a Liverpool fan, so huwa natumaini kuwa he'll tripple his zoning shape ili kutimua possession play ya Pep.
and, hili suala la kuwa Pep hajawahi kutengeneza players ni myth, kabla hajachukua kazi Barca, Frank had Messi/Gaucho/Deco etc and finished 18 points behind Madrid in the league, then Pep came in sold Gaucho/Deco etc, and went on to win the treble in his first season, Messi was so talented but Pep's coaching changed him forever (man management), Xavi/Iniesta became one of the best CMs under Pep Guardiola, then Pep went on to introduce talents like Busquets/Pedro and turned a Utd flop Pique into a world class defender, did the same thing to Alves and other players. kitu ambacho Klopp pia amefanya at Dortmund na pia anakifanya at LFC, we questioned the signing of Mane back then but Klopp has turned him into world class, turned Salah into a world star, turned Firmino into a world class false number 9, turned a relegation fodder FB into world class, the list goes on, what Klopp did to Gotze/Sahin/Lewa/Bender etc ndiyo alichokifanya Pep kwa Pique/Pedro/Jeffren/Alves/Busquets etc, what Klopp did to Mane and Cos ndiyo alichokifanya Pep kwa Sterling and Cos (improving their footballing abilities).
Klopp ni fan wa fast paced football and use of possession against deep block teams, so unaweza ukampa City na akashinda loads of trophies, because anaweza akawatumia Sane/Sterling/Mahrez/Bernado/Gundogan/Ferna and KDB kwenye fast paced counters and possession pia, and Pep ni big fan wa possession na pia unaweza ukampa LFC na akafanikiwa kwasababu atawatumia kina Matip/VVD/Keita/Fabinho/Firmino/Mane/Salah/TAA/Allison/Robertson katika ku-keep the ball and move it through the lines with ease, his main strength itakuwa ni Matip katika ku-break the lines from the back.
Give Pep/Klopp/Sarri that Burnley team na wataishia kuishusha daraja, not because they're bad coaches but kwasababu hakuna wachezaji ambao wanaendana na tactical needs zao.
Sarri is struggling at chelsea siyo kwasababu ni m-baya (FSG wanted him pia at LFC wakati yupo Empoli), bali ni anajaribu kui-implement his possession play kwenye kundi la wachezaji ambao hawa-fit his tactical needs, na kama Chelsea itamaliza top 4 yatakuwa ni mafanikio makubwa sana kwake.